ozigizaga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 701
- 1,703
Akanunue mahindi Mpitimbi au KilaganoWakuu hivi kwa location ya Songea kwa mtaji huo anaweza akafanya bize gani? Mi niliwaza afungue salon lakini yeye hajui kunyoa. Ndo ilipo changamoto hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akanunue mahindi Mpitimbi au KilaganoWakuu hivi kwa location ya Songea kwa mtaji huo anaweza akafanya bize gani? Mi niliwaza afungue salon lakini yeye hajui kunyoa. Ndo ilipo changamoto hapo.
Alikua kibarua vijijin mashamba ya mitiAifanye kazi aliyokuwa anaifanya mpaka akapata hizo milion mbili.
nini mkurugenzi au niMefanyajeIla wewe jamaa dah😂😂😂😂
Comment yako tu imenifurahisha🙈KWa
nini mkurugenzi au niMefanyaje
Nyie mafundi mkimmaliza kazi mnaenda kuhonga warembo mgegedeHivi inakuaje kuaje mpka mtu unamiliki 2milion wakuu ..? Mbona mm sijawahi kushika hata za kuazimwa tu
😅😁😅Hizo ni tabia za mafundi tope tena wale mafundi wakuu sisi nyoka /saidia fundi tunapewa 10K per day apo nauli kula dah hyo milion sjui tutakamata kiniNyie mafundi mkimmaliza kazi mnaenda kuhonga warembo mgegede
😅😅😁Kweli mkuu nineukiza kwa uchungu sana japokua imekua kama kuchekesha flani ila ni uhalisia huo mkuuComment yako tu imenifurahisha🙈
Yeah ni kweli,,, piga kazi utapata tu😅😅😁Kweli mkuu nineukiza kwa uchungu sana japokua imekua kama kuchekesha flani ila ni uhalisia huo mkuu
Aiseee komaa mkuu utazishika tuHivi inakuaje kuaje mpka mtu unamiliki 2milion wakuu ..? Mbona mm sijawahi kushika hata za kuazimwa tu
Kabsa ngoja tukomae one day yess mungu atatuona tuhYeah ni kweli,,, piga kazi utapata tu
Sawa mkuu ngoja tuendelee kukaza buti iko siku account itasoma 2.5 Millions mungu na wanadamuAiseee komaa mkuu utazishika tu
Wenye hela hawana ujuzi wa kuzitumia, wewe na Mpwayungu mnateseka!! Life is not ours!!Hivi inakuaje kuaje mpka mtu unamiliki 2milion wakuu ..? Mbona mm sijawahi kushika hata za kuazimwa tu
Yeah 👊Kabsa ngoja tukomae one day yess mungu atatuona tuh
Kwa songea si mwenyeji sana ila ingekuwa mimi huku nilipo ningefungua moja wapo kati ya haya.
1.Duka la maji la jumla(sio zile godown)
na kuuzia wafanyabiashara na wachuuzi wa hapo town.
2.Boxer/TVS pikipiki used kwa 1.5 million na kuanza kupiga mzigo na kuweka 300,000 Kwa mwezi.(Pia ukichoka unauza chombo mana ni asset)
3.Naweka Tigopesa na Mpesa Tu.huku nikiacha mitandao mingine pembeni kwanza ili nikuze mtaji,chenji unaweka kibanda hapo.( ila unaangalia na hapo ulipo mtandao gani unatumika sana)
4.Kupakia dumu za alizeti Singida au dodoma na kuleta na kufungua fremu hapo ulipo na kuuza huku ukisupply kwa masoko ya hukohuko.
5.Gold Fisher ll. ningenunua hichi kifaa cha kupimia dhahabu(tena songea kuna machimbo).
Kwa siku ukiitwa ni laki 1 tena umekaa unafuatwa.
-Tengeneza connections na wachimbaji kila wiki hukosi 400,000 narudia kwa wiki.
6.Biashara ya Mini Kiosk
Watu wanaidharau ila ina hela.Unauza vitoko na viroba na sigara (smart gin, na takataka zingine)
Kuna jamaa namfahamu anauza kwa siku 30,000 faida ni pasu pasu peleka stendi au machimboni au sokoni.
Asante
Hivi hizi gold fisher coz ya kuzitumia unaipata wapi??Kwa songea si mwenyeji sana ila ingekuwa mimi huku nilipo ningefungua moja wapo kati ya haya.
1.Duka la maji la jumla(sio zile godown)
na kuuzia wafanyabiashara na wachuuzi wa hapo town.
2.Boxer/TVS pikipiki used kwa 1.5 million na kuanza kupiga mzigo na kuweka 300,000 Kwa mwezi.(Pia ukichoka unauza chombo mana ni asset)
3.Naweka Tigopesa na Mpesa Tu.huku nikiacha mitandao mingine pembeni kwanza ili nikuze mtaji,chenji unaweka kibanda hapo.( ila unaangalia na hapo ulipo mtandao gani unatumika sana)
4.Kupakia dumu za alizeti Singida au dodoma na kuleta na kufungua fremu hapo ulipo na kuuza huku ukisupply kwa masoko ya hukohuko.
5.Gold Fisher ll. ningenunua hichi kifaa cha kupimia dhahabu(tena songea kuna machimbo).
Kwa siku ukiitwa ni laki 1 tena umekaa unafuatwa.
-Tengeneza connections na wachimbaji kila wiki hukosi 400,000 narudia kwa wiki.
6.Biashara ya Mini Kiosk
Watu wanaidharau ila ina hela.Unauza vitoko na viroba na sigara (smart gin, na takataka zingine)
Kuna jamaa namfahamu anauza kwa siku 30,000 faida ni pasu pasu peleka stendi au machimboni au sokoni.
Asante
👊👊👊👊👊Yeah 👊
😁😁😅 Mpwayungu VillageWenye hela hawana ujuzi wa kuzitumia, wewe na Mpwayungu mnateseka!! Life is not ours!!
Nyie ni wale wale😅😁😅Hizo ni tabia za mafundi tope tena wale mafundi wakuu sisi nyoka /saidia fundi tunapewa 10K per day apo nauli kula dah hyo milion sjui tutakamata kini