Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Ukiacha huyu dogo tunayefahamina zaidi ya 20 fulani vile huyu dada namfahamu kama 13 iliyotulia na ninawafahamu na historia yao ndiyo maana walikubalinana kuniita huyu kama ni kupima tabia za mtu kwa macho namkatalia na yeye analalamika kuwa kizazi chake kiko karibu sana jamani niko njia panda naogopa kutoa ushauri mbovu kwao
Mwenzangu! Au ni wewe? Kila nkisoma naona kama vile wewe!
Mwenzangu! Au ni wewe? Kila nkisoma naona kama vile wewe!
Duuuuuuuhhh hatari
?????????????????:embarrassed:
kama kondom ilitumika na bidada hajagawa nje.....basi walitumia kifutio kimoja......huu ni msala.......na kama hajakutana na mumewe miezi mitano hilo ni janga la taifa.....duh sasa huyu sijui tunamshaurije......mi naona suluhu ni moja tu....nitarudi baadae
Mimi ni mwenyeji wa kukwaa la Siasa ila naomba kutoa ushuhuda tu.
I & my wife prefer condom usage when we think the dates are not safe. This very similar incidence (pregnancy) happened like 7yrs ago and it shocked both of us. When trying to put figures together we came to realize that on the D day we used the same (small) towel and specifically she cleaned me first and went on to clean herself. Pamoja na kuwa namwamini saaaaaaaaana bado mawazo potofu hayakukosa kunijia. Uzuri mbegu zangu kali huwezi kunitapeli. Tulliea na tukapata binti yetu wa mwisho - now grade 3.
We learned our lesson from then - kila mtu kifutio chake siku hizi or else ni kuvumilia hadi siku salama.
Hawa wapendwa issue ipo kwenye nini wafanye baada ya hili. Huyo mdada hana njia isipokuwa ajisalimishe kwa husband wake, amweleze kuwa kajikuta kwenye hali hiyo kutokana na frustration za unstable marriage.
Derimto huwezi amini inawezekana mumewe yeye kaanza kwenda nje siku nyingi maana kukata miezi 5 bila maloveeee na unalala na mwanamke same bed haiwezekani unless sheikh yahya kakwambia ukimuonja tu mkeo utakufa vinginevyo kuna mahali mkaka anapozea kiu yake. Ni rahisi ku-abstain kama hujaoa (walosoma boys skuli wataelewa).
Ila mdada awe tayari kwa lolote ikiwa pamoja na kichapo au ndoa kuvunjika. Huyo bro lake ni rahisi sana sitoshangaa mkewe akimsamehe maana Mungu amewaumba kina dada na mioyo ya ajabu sana - kusamehe kwao ni sawa na yaliyoandikwa kwenye msahafu (7 x 70).
Ni hayo tu narudi jukwaani kweeeeeeeeetu!
Mi bana nipo tofauti na wengine! Wakitaka usalama kwenye hili wa do the nidful tu! Waongee na dr. Mambo yaishe! Wangekua na imani wanayo ihubiri kwa sasa wasinge fanya upuuzi huo! Agrrr!
Muulize vizuri huyo ndugu yako jinsi alivyotumia kondom.
a) Je waligusanisha nyeti zao katika kuchezea chezea na kulainishana halafu ndio akavaa condom?
b) Au aliingiza kwanza halafu alipoona anakaribia kutoa maji ya uzima ndipo akavaa kondom?
c) Au hakuna hata wakati mmoja ambapo waligusishana nyeti bila condom?
Kama jibu ni NDIO kwa (a) au (b), mimba ni yake. kama ni HAPANA basi si yake
Kama jibu ni HAPANA kwa (C) mimba ni yake. Kama ni NDIO basi si yake.
labda mdada ni muumini mzuri wa kugawa,,so inawezekana dogo anasingiziwa tu!akome