Mimi ni mwenyeji wa kukwaa la Siasa ila naomba kutoa ushuhuda tu.
I & my wife prefer condom usage when we think the dates are not safe. This very similar incidence (pregnancy) happened like 7yrs ago and it shocked both of us. When trying to put figures together we came to realize that on the D day we used the same (small) towel and specifically she cleaned me first and went on to clean herself. Pamoja na kuwa namwamini saaaaaaaaana bado mawazo potofu hayakukosa kunijia. Uzuri mbegu zangu kali huwezi kunitapeli. Tulliea na tukapata binti yetu wa mwisho - now grade 3.
We learned our lesson from then - kila mtu kifutio chake siku hizi or else ni kuvumilia hadi siku salama.
Hawa wapendwa issue ipo kwenye nini wafanye baada ya hili. Huyo mdada hana njia isipokuwa ajisalimishe kwa husband wake, amweleze kuwa kajikuta kwenye hali hiyo kutokana na frustration za unstable marriage.
Derimto huwezi amini inawezekana mumewe yeye kaanza kwenda nje siku nyingi maana kukata miezi 5 bila maloveeee na unalala na mwanamke same bed haiwezekani unless sheikh yahya kakwambia ukimuonja tu mkeo utakufa vinginevyo kuna mahali mkaka anapozea kiu yake. Ni rahisi ku-abstain kama hujaoa (walosoma boys skuli wataelewa).
Ila mdada awe tayari kwa lolote ikiwa pamoja na kichapo au ndoa kuvunjika. Huyo bro lake ni rahisi sana sitoshangaa mkewe akimsamehe maana Mungu amewaumba kina dada na mioyo ya ajabu sana - kusamehe kwao ni sawa na yaliyoandikwa kwenye msahafu (7 x 70).
Ni hayo tu narudi jukwaani kweeeeeeeeetu!