Ana mimba yangu

Mkuu wewe ndo muongo hapa, umempotezea muda msichana wa watu, ulimlazimisha kufanya bila kinga, umemnyanyasa kwa kumwita muongo...badilika ndugu, sasa kama ungeambiwa ana ukimwi si ungekimbia bila hata kumpa ushauri? Wewe mnyanyapaa mkubwa
 
madhara ya kumwambia mwenzio kuwa una mimba while unajua huna ni makubwa sana, naona wengi wenu mliochangia mmechukulia simple.

Kwanza mjue kudanganya, au kusema uwongo kunapoteza imani kwa mwenzio. Vitu hivi, Trust and love vinaendana sana.


ila nashukuru sana kwa ushauri wenu.
 


Huna jipya.......acha visingizio kibao,hapa muongo ni wewe.......na ulishakiri hapo kwenye RED.......shame on you.....useless man..............

Ndio nyie mnaoharibu mabinti za watu kila kukicha....................
Mimi binafsi nimempenda huyo binti..............she is smart kwani anajali afya yake na anaonekana ni binti mwenye malengo............kukutana na ibilisi kama wewe ni bahati mbaya tu.........Mungu amuepushie mbali.
 
Bora umuache haraka sana,sio kwa sababu She is Cold ila kwa sababu wewe hu Qualify kuwa mpenzi wa huyo innocent girl wala bint mwingine yeyote mpaka utakapokuwa matured enough kuweza kumsitiri mpenzi wako na kutunza siri za chumbani. Kilaza we!
 
hamna kupoteza muda, piga chini huyo. analeta za kisista duu af majamboz hajui, khaa! kupika na kufua je, anaweza?
 
Ha ha ha ha ha! Kweli mjomba umeikera jamii! Nakushauri usipost tena mavimavi humu ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…