Hodi JF;
Siku za karibuni niliingia kwenye uhusiano na mdada mmoja ambaye nilihisi anafaa kuwa mke. Nikamtokea na kwa bahati nzuri akakubali tuwe wachumba, sasa si unajua tena mwanaume nikataka nipewe mzigo, mdada wa watu akataka tupime kwanza HIV nikakubali kwani nilikuwa najiamini.
So tukapima wote tuko safi, baada ya hapo mapenzi moto moto yakaanza
ingawa tulipo do for first day mi sikupenda maana mdada alikuwa kapooa kweli.
So nikaona nianze kumyeyusha maana sikufurahia kabisa ladha yake. Ila binti ndo akawa amefika maana kila saa anataka tuwe pamoja na tukikaa kidigo faragha anataka na mi sikuwa tena na hamu naye. Sasa baada ya kama mwezi moja akaibuka eti anahisi ana mimba yangu.
Mimi sikuamini kabisa maana nilikuwa namwulizi siku zake kila tulipofanya na ikaonekana alikuwa kwenye dry period. Kwa aliponiambia hivyo sikuamini na nilikuwa safari, so nimweleza kuwa nikirudi tuka prove. Niliporudi akasema yeye alisha pima na ana mimba na akataka nimweleze tufanyeje?
Kwa kuwa nilikuwa najiamini kwa kiwango fulani nika mweleza kuwa yeye ni mwongo ananicheat, nikaweka msimamo kuwa hana mimba na ikabainika hana mi na ye basi. Nilipo mwanbia hivyo akasema ni kweli hana mimba ila alitaka tu kujua msimamo wangu.
Sasa mimi nimeona nimwache tu kwa sababu
- sijamfurahia katika tendo, she is so cold
- nimeona ni mwongo mwongo fulani
- msumbufu
Au wadau mnaonaje