Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Jamani yaani kila ninapomuona huyu mdada, nachanganyikiwa sana. I really love her, sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.

What can i do? Nipeni mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.

1622626800729.png
 
Mbinu gani tena upewe, we mweleze ukweli ongeza ufanisi na ukaribu. Mdogo wangu.

Hakuna kisicho wezekana.
 
Mbinu gani tena upewe,we mweleze ukweli
ongeza ufanisi na ukaribu.Mdogo wangu
Hakuna kisicho wezekana

Dah mwenzio nimelia weeeee lakini anachodai tatizo ni wapi ataniweka kwa sababu tayari ana jamaa, ila sio kwamba hanipendi.
 
Kwan we unataka kumtafuna tu then usepe au unataka kuweka kambi?
 
Mkuu taratibu! .. Kuna jamaa huko Mbeya waligandana....! :nono:
 
Jamani yaan kila nimuona huyu mdada,nachanganyikiwa sana.I really love her,sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.What can i do?? Nipen mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.
Acha kuwa king'ang'anizi, ashakuambia ana mtu wake tayari: au unataka mpaka jiwe litoe damu ndio uelewe du!.
 
Wewe using'ang'anize mapenzi kama anamtu wake, utaishia kuliwa pesa au upozewe muda wako. Ngoja nikupe ushauri as woman, inabidi wewe sasa ujiheshimu, msalimie kama kawa na heshima yako usipunguze bali kuwa serious just mean business.

Atakaa kujiuliza mbona somehow umemchunia,unless hiyo relationship yake iko over the moon otherwise atakutafuta yeye mwenyewe.
 
Jamani yaan kila nimuona huyu mdada,nachanganyikiwa sana.I really love her,sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.What can i do?? Nipen mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.

Sina mbinu acha niende sredi nyingine
 
Tatizo kumpindua tuu, nenda kabargain vizuri ss,

Mshushia binty mistarii ya kispaniola loz! atakuelewa tuu.
 
dah mwenzio nimelia weeeee lakini anachodai tatizo ni wapi ataniweka kwa sababu tayari ana jamaa,ila sio kwamba hanipendi
Kama atakubali kupinduka na akahamia kwako, Usije ukaona ajabu akipinduka kwa mwingine na kukuacha!!!

Jitahidi ila ukifanikiwa ukumbuke na wewe laweza kukutokea pia.
 
km atakubali kupinduka na akahamia kwako,
usije ukaona ajabu akipinduka kwa mwingine na kukuacha!!!

Jitahidi ila ukifanikiwa ukumbuke na wewe laweza kukutokea pia.

Kupinduliwa kawaida sana kwenye maisha haya bwana utampata wapi wakwako peke yako??
Unayempenda alishapendwa aatii!
 
Jamani yaan kila nimuona huyu mdada,nachanganyikiwa sana.I really love her,sitanii ila nilipomtupia maneno matamu akaniambia ana jamaa yake sasa mimi SIKUBALI nataka kumpindua jamaa.What can i do?? Nipen mbinu kama huna pliz nenda threads zingine.

Unataka mbinu za kumfanyia mwenzio ushetani? Nyie ndo mnasababisha posts za watu kuumizwa hapa MMU.Kwa nin usiwe muelewa ukamuacha na ubaki kuwa best wake.Jaman ifike point mtu akipost thread za kishetani kama hizi aandamwe na wanaJF kwa kushauriwa kubadilisha mawazo yake kudhihilisha kuwa hapa ni HOME OF GREAT THINKER nasema haya kwa kuwa najua machungu ya kuibiwa mpenzi haswa ambaye ulikuwa unamtegemea.
 
Back
Top Bottom