Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

Pata picha ndio ungekua umeshamuweka ndani 🤣
Ndo hapo sasa...ila huwez jua alipitia changamot gani...sometimes hawa wadada wakiwa wazuri basi wanajiachia kinoma kwa kila mwenye IST
 
Wewe using'ang'anize mapenzi kama anamtu wake, utaishia kuliwa pesa au upozewe muda wako. Ngoja nikupe ushauri as woman, inabidi wewe sasa ujiheshimu, msalimie kama kawa na heshima yako usipunguze bali kuwa serious just mean business.

Atakaa kujiuliza mbona somehow umemchunia,unless hiyo relationship yake iko over the moon otherwise atakutafuta yeye mwenyewe.
Dah umelenga mle mle asee. Hata Mimi kuna dem nilimng'oa kwa stail hiyo.

Yaan nilimpanga akasema ana guy mi nikaona nimuach tu ila nilikuwa namsalimia fresh yaan. Cku moja cna hili wala lile mtot akanipandia hewani akaanza kunishushia mistar oyaaaa nomaaa kwang ilikuwa brightest day ukizingatia mtt alikuwa anang'aa kama malaika figure ndo ucseme dah noma sana jamaa inabid avute subra kama ipo ipo tu
 
Wewe using'ang'anize mapenzi kama anamtu wake, utaishia kuliwa pesa au upozewe muda wako. Ngoja nikupe ushauri as woman, inabidi wewe sasa ujiheshimu, msalimie kama kawa na heshima yako usipunguze bali kuwa serious just mean business.

Atakaa kujiuliza mbona somehow umemchunia,unless hiyo relationship yake iko over the moon otherwise atakutafuta yeye mwenyewe.
Mi sio woman..ni DUME
 
Back
Top Bottom