Ana mpenzi wake, ila na mimi nampenda sana. Nifanyeje?

Endeleea nakuhesabia tu siku,nitazamisha chuma ya mita tatu kwenye mkundu wako
Kwan na wewe una demu??? Kweli dunia imebadilika jaman.wanawake kwa wanawake mnaridhishana vp sasa!!?
 
Pata picha ndio ungekua umeshamuweka ndani 🤣
Ndo hapo sasa...ila huwez jua alipitia changamot gani...sometimes hawa wadada wakiwa wazuri basi wanajiachia kinoma kwa kila mwenye IST
 
Dah umelenga mle mle asee. Hata Mimi kuna dem nilimng'oa kwa stail hiyo.

Yaan nilimpanga akasema ana guy mi nikaona nimuach tu ila nilikuwa namsalimia fresh yaan. Cku moja cna hili wala lile mtot akanipandia hewani akaanza kunishushia mistar oyaaaa nomaaa kwang ilikuwa brightest day ukizingatia mtt alikuwa anang'aa kama malaika figure ndo ucseme dah noma sana jamaa inabid avute subra kama ipo ipo tu
 
Mi sio woman..ni DUME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…