Ana tatizo la kuugua ugua mara mara

nini kinachomsumbua sana, yani sema huo ugonjwa unaomsumbua...,
 
Kila nikimuuliza huwa anasema ni siku hizi tu na kwamba zamani hakuwa na matatizo hayo. Hivyo nimekuwa najitahidi kumvumilia nikijua huenda hali hii itaisha ila bado
Nendeni kwenye vipimo braza.
 
labda mkacheki figo na ini. huwa vinaambatana na kuvimba miguu na kuishiwa damu.
 
Pengine ana malaria sugu, UTI, au typhoid. Nendeni mkapime mkiwa wote ili apate Tiba sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…