Ana wivu sana.

Ana wivu sana.

Ananipenda sana,ila anawivu mno mpaka ananiudhi..Dawa yake ni nini wana mmu?.nataka anipende kiasi..

ýaani ww kuonewa wiv ndo unaona kero!dah mwenzio naitafuta nafac km hyo.

USHAURI:mtafute acyekupnda cdhan km atakuonea wiv.
 
Ananipenda sana,ila anawivu mno mpaka ananiudhi..Dawa yake ni nini wana mmu?.nataka anipende kiasi..
hicho kiasi kingine apeleke wapi? Akipeleka nyumba ndogo lawama zinaanza, ridhika na huo wivu
 
Back
Top Bottom