SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mtu mzima hatishiwi nyau,kama wamekuweza wewe ni wewe tu.Utadavirwa usiamini macho yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mzima hatishiwi nyau,kama wamekuweza wewe ni wewe tu.Utadavirwa usiamini macho yako
Wanahusika hasa. Why hawachunguzi?Wanahusika hao na wanajua kinachoendelea.ati wanamuhusisha mzee KIBAO na wale magaidi wa amboni
4. Lupanga mauajic&p from Jebra Kambole on X
Kuna watu wanadhani serikali haihusiki na kupigwa risasi kwa Mzee Kibao, Kutekwa kwa Soka, Kupigwa risasi
sativa na mateso ya watu wengine! Serikali inahusika kwa namna zifuatazo;
1. Kwa Maneno (kuagiza au maelekezo)
2. Kwa Vitendo ( kufanya)
3. Kwa kutotimiza wajibu wao!
Nini maoni yako?
Hivi ni kweli hakuna namna nyingine ya kudeal na watu aina ya Soka na Kibao zaidi ya kuwateka na kuwaua?Sativa karudi ilipiga shavuni
Soka wamepiga kwenye ubongo hatorudi
Itaachaje kuhusika wakati upelelezi feki usio kuwa na mwisho unaendelea mpaka Masiha arudi ?c&p from Jebra Kambole on X
Kuna watu wanadhani serikali haihusiki na kupigwa risasi kwa Mzee Kibao, Kutekwa kwa Soka, Kupigwa risasi
sativa na mateso ya watu wengine! Serikali inahusika kwa namna zifuatazo;
1. Kwa Maneno (kuagiza au maelekezo)
2. Kwa Vitendo ( kufanya)
3. Kwa kutotimiza wajibu wao!
Nini maoni yako?
Mwisho umeshafika....Yana mwisho haya mambo
Sasa hivi handle waliyoifungua ndio hio ukidavirwa basi jua kuna shimo linakusubiri wanaenda kukufukia mzima mzimaHivi ni kweli hakuna namna nyingine ya kudeal na watu aina ya Soka na Kibao zaidi ya kuwateka na kuwaua?
Hakuna namna nyingine kabisa?
Labda, haiwezekani kuwafungulia mashtaka ama kuwaweka vizuizini?
Mkapa na Kikwete walikuwa wanawahandle vipi watu wa aina hiyo?
Nimekosa mimi, nimekosa sanac&p from Jebra Kambole on X
Kuna watu wanadhani serikali haihusiki na kupigwa risasi kwa Mzee Kibao, Kutekwa kwa Soka, Kupigwa risasi
sativa na mateso ya watu wengine! Serikali inahusika kwa namna zifuatazo;
1. Kwa Maneno (kuagiza au maelekezo)
2. Kwa Vitendo ( kufanya)
3. Kwa kutotimiza wajibu wao!
Nini maoni yako?
Mungu yupoYana mwisho haya mambo
Ndio maana siamini wachawi wala waganga na hawanitishi.Hawana Waganga konki Wazee wa vifurushi Bwana yule niliwahi kutembelea kilinge kimoja somewhere nikakutana na Gwiji akatoboa Siri kwamba mwamba alikua amechanjiwa kucha ya Simba maeneo fulani ya mwili wake jambo lililomfanya aogopwe kwa ukali wake km Simba, sasa bi nyam pora amechanjwa ya Chui nimefungua kibuyu waambieni hao magwiji wenu wa-deal nae tuone
Ni kazi km kazi zingine sio uchawi sio uganga ni tamaduni mkuu, jiulize Serikali yako inaajiri watu wa namna hio? Km jibu ni ndio jiulize mara 3 km sio jiulize tena mara 10 10 ziwe 10,000 ndio utagundua kwanini wanahudhuria shughuli zote za kitamaduni wanabebeshwa ngao na mkuki siku ya kuapishwa kwao km ishara ya nini? Wanavaa ngozi za wanyama na kubebeshwa usinga ikiwa ni ishara ya nini? Hahaha haujui? Ushakua Zombie S2KIZZYNdio maana siamini wachawi wala waganga na hawanitishi.
Wameshindwaje kukamata wasiojulikana?
Basi majibu unayo ya nani muhusika mkuu wa matukio yote hao ndio wanaojulikana kwenye kivuli cha wasiojulikanaWale watoto waliorushia mawe treni wamekamatwa kwakuwa hawakutumwa na serekali. Ingekuwa wametumwa na serekali ingekuwa ni watu wasiojulikana, na hadi leo polisi ingekuwa inaendelea na uchunguzi. Na ili inoge vizuri, polisi wangesema mwenye ushahidi na hao waliorusha mawe aupeleke mara moja kwa uchunguzi zaidi.
Hivi tatizo ni ukosoaji tu ama kuna mengine behind the scenes??Nina amni asilimia 💯 wahusika wakuu ni vikosi vyetu vya ulinzi na usalama !Polisi na TISS .
Sativa karudi ilipiga shavuni
Soka wamepiga kwenye ubongo hatorudi
Mnaiita Sakalitu Mahuti au nimekosea?Kila nafsi itaonja mauti, kwa namna yoyote ile.