Anaandika Advocate Jebra Kambore na kuelimisha Umma wa Watanzania

4. Lupanga mauaji
5. Matimizi ya facilities za umma (gari, cell etc)
 
Sativa karudi ilipiga shavuni
Soka wamepiga kwenye ubongo hatorudi
Hivi ni kweli hakuna namna nyingine ya kudeal na watu aina ya Soka na Kibao zaidi ya kuwateka na kuwaua?

Hakuna namna nyingine kabisa?

Labda, haiwezekani kuwafungulia mashtaka ama kuwaweka vizuizini?

Mkapa na Kikwete walikuwa wanawahandle vipi watu wa aina hiyo?
 
Itaachaje kuhusika wakati upelelezi feki usio kuwa na mwisho unaendelea mpaka Masiha arudi ?
 
Sasa hivi handle waliyoifungua ndio hio ukidavirwa basi jua kuna shimo linakusubiri wanaenda kukufukia mzima mzima
 
Nimekosa mimi, nimekosa sana
 
Ndio maana siamini wachawi wala waganga na hawanitishi.

Wameshindwaje kukamata wasiojulikana?
 
Ndio maana siamini wachawi wala waganga na hawanitishi.

Wameshindwaje kukamata wasiojulikana?
Ni kazi km kazi zingine sio uchawi sio uganga ni tamaduni mkuu, jiulize Serikali yako inaajiri watu wa namna hio? Km jibu ni ndio jiulize mara 3 km sio jiulize tena mara 10 10 ziwe 10,000 ndio utagundua kwanini wanahudhuria shughuli zote za kitamaduni wanabebeshwa ngao na mkuki siku ya kuapishwa kwao km ishara ya nini? Wanavaa ngozi za wanyama na kubebeshwa usinga ikiwa ni ishara ya nini? Hahaha haujui? Ushakua Zombie S2KIZZY
 
Wale watoto waliorushia mawe treni wamekamatwa kwakuwa hawakutumwa na serekali. Ingekuwa wametumwa na serekali ingekuwa ni watu wasiojulikana, na hadi leo polisi ingekuwa inaendelea na uchunguzi. Na ili inoge vizuri, polisi wangesema mwenye ushahidi na hao waliorusha mawe aupeleke mara moja kwa uchunguzi zaidi.
 
Basi majibu unayo ya nani muhusika mkuu wa matukio yote hao ndio wanaojulikana kwenye kivuli cha wasiojulikana
 
Jimbo la temeke ,ni muhimu sana kwa serikali ya ccm (ndo halmashauri namba Moja kuingiza lato la ndani la taifa)

ccm inaogopa sana kusikia kunamtu anakuwa maarufu eneo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…