Anaandika Askofu Emmaus Mwamakula

Anaandika Askofu Emmaus Mwamakula

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Screenshot_20230703-200838.png
Screenshot_20230703-201525.png
 
Mchanga unapelekwa Zanzibar kufanya nini?
Zanzibar kuna mapinduzi ya ujenzi wa miundombinu mipya as mabarabara, majumba makubwa kama mahoteli nk.

Zanzibar haina eneo la kutoa mchanga wa kutosha kufanikisha hayo, lazima wapate usaidizi wa eneo la ziada ambalo ni Tanganyika.

Hii issue inaweza kuwa kweli na hata siwezi kushangaa kama shirika la umeme nchini Tanesco limefuta deni la pesa nyingi kiasi kile unadhani Tanganyika kuachiwa mashimo na uharibifu wa mazingira inashindikana?.

Kama Askofu anaambiwa kituo vha polisi hawawezi kuja wala kusogea eneo hilo unadhani kuna nini nyuma ya pazia?.
 
Wale mafala wanatunyonya Sana ifike kipindi tukatae huu upuuzi wa MUUNGANO
 
Awamu ya wapemba,watanganyika wakae kutulia,

Inamaana zenji hata mchanga wa kujengea wanatoa tanganyika??
Kuhusu mchanga sina hakika lakini kuna hoteli flani hivi maarufu sana iliyojengwa hivi karibuni ambayo inamilikiwa na tajiri mkubwa ambaye anamiliki runinga na viwanda vya kuchakata nafaka za ukraine , udongo wote uliotumika kupanda bustani zake ulitoka bara , malori kwa malori yalisomba ukapelekwa kule ukatandazwa na bustani ndio ikapandwa mimea na maua

Na najua hiyo moja sijui zingine kama pia huwa wanafanya hivyo ama la ila ukiuliza watu wa bandarini watakujuza vingi vinavyoenda kule na vinavyokuja huku
 
Mbona hili linafahamika, kuna malorry ya kiChina zile FAW kubwa za Tani 40 zinapita zikiwa zinadondosha maji nankuharibu barabara, mchanga wote unaenda Tz visiwani
 
Back
Top Bottom