Anaandika Askofu Emmaus Mwamakula

Anaandika Askofu Emmaus Mwamakula

Sasa askofu anahusikaje na michanga??
Eti akaanza kufatilia...yeye mchanga ni Mali ya kanisa??
 
Mchanga unapanda boti?
Akili yangu imegoma kuelewa
 
Awamu ya wapemba,watanganyika wakae kutulia,

Inamaana zenji hata mchanga wa kujengea wanatoa tanganyika??
Kwani hujui?? Nenda bagamoyo uone..hadi kokoto na malighafi nyingine. Ila huo wa segerea sijui chochote.
 
Mchanga unapanda boti?
Akili yangu imegoma kuelewa
Usafafirishaji wa mchanga mbona unafanyika sana Duniani? Soma storie za West Africa kule uone jinsi Meli zinavyo pakia mchanga kupeleka Ulaya.
 
Awamu ya wapemba,watanganyika wakae kutulia,

Inamaana zenji hata mchanga wa kujengea wanatoa tanganyika??
Inawezekana kabisa,Maana inasemekana Zanzibar Kuna uhaba mkubwa wa mchanga wa kujengea
 
Ukiwa umekaa Moveck Hotel Ubungo pale Kuna trucks zinapita pale zaidi ya 20 Kwa siku.

Kuna siku TANROADS walikuja wakawakamata wale jamaa, walikamata trucks mbili ila baada ya siku tatu zikaendelea
 
Suala la mchanga kutoka Tanganyika kupelekwa Znz kwa ajili ya shughuli za ujenzi mbona siyo geni, limeanza tangu muda tu. Znz hawaruhusu kuchimba mchanga kwa ajili ya shughuli za ujenzi Visiwani kule, marufuku hii ilianza miaka mingi tu. Nakumbuka Mwaka 2017 nilishuhudia Askari wa Vikosi vya KMKM wakizunguka katika maeneo ya fukwe za Znz na site za ujenzi ili kukagua endapo kama watu wanchimba mchanga ili wawakamate. Hata zile nyumba nyingi alizojenga Bakrhesa kule Znz mchanga karibu wote umetoka Tanganyika. Mchanga huwa unajazwa kwenye Makasha (containers) na Kisha unasafirishwa kwenye meli zake za Azam ili kupeleka Zanzibar, na meli zake za kusafirisha huo mchanga huwa zinatia nanga kwenye bandari yake yeye Bakrhesa ambayo gati yake ipo jirani kabisa na mahali ilipo gati ya kutokea abiria pale Bandari ya Znz.Kwa wale waliopo Znz watakuwa wanalifahamu vizuri zaidi suaa hili, wanaweza wakatupatia ufafanuzi mzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom