Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahhaaaaaOkay sawa kumbe mafanikio ni kuwa wa kwanza kuvaa viatu, jezi, kupiga mswaki, VAR, Instagram followers
Mtafukua mpaka rekodi za kuwanga kiwanjani
Tupo nyuma twajaTUKUTANE SUPER CUP.
Na hapo ndipo mnapokwama.Katika maisha historia inaachajwe kufuatiliwa na kukumbukwa?Hampendi au inawaudhi?Kama ni hivyo muache kujiita mabingwa wa kihistoria.Mjiite "Mabingwa wa Stori za Blah Blah"!Kwa hiyo hii ndiyo faraja yenu kwa sasa! Kweli aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Asante Kwa ufafanuziAlafu uyo Magori ndiye mshauri wa MO na hajui Lolote kuhusu soka, Ndio maana Muhimdi anapigwa daily na atapigwa mpaka achakae.
Yanga imecheza robo ya Caf Champion League 1969 ikacheza Tena robo ya Champion League 1970.
Yanga amecheza robo fainali ya Caf winners cup 1995 na alitolewa na Black pool ya Zimbabwe.
Yanga amecheza 1998 robo finali ikiwa imewekwa katika group, Mfumo mpya wa Caf ulioanzishwa 1997.
Kulikua na ma Group 2 , A na B yenye timu 4/4. Yanga alikua group B.
2016 Yanga amecheza Group stage ya Caf confederation.
2018 Yanga amecheza Group stage ya Caf Confederation.
2023 Yanga anacheza Nusu fainali ya Confederation cup na upo uwezekano akacheza fainali na kuwa Bingwa.
Mimi nilifikiri kauli ya Alhaji Ismail Ade Rage kuhusu umbumbumbu katika klabu ya Simba inawahusu baadhi tu kumbe mpaka walio wahi kuwa watendaji wakuu katika klabu ya Simba inawahusu.
Nahitimisha Kwa kuandika Rage apewe Maua yake.
Hata hiyo mtakuja kuikataa.Tupo nyuma twaja
Mkuu ndiyo lifeline iliyobaki nayo,Na hapo ndipo mnapokwama.Katika maisha historia inaachajwe kufuatiliwa na kukumbukwa?Hampendi au inawaudhi?Kama ni hivyo muache kujiita mabingwa wa kihistoria.Mjiite "Mabingwa wa Stori za Blah Blah"!
ππ Wapo busy kuleta takwimu zao za miaka ya 70, na wakati wenzao Yanga wapo nusu fainali!Bado mnawewesekaa???
AhaaaaaaHata hiyo mtakuja kuikataa.
Mkuu ndiyo lifeline iliyobaki nayo,
We jifariji tu
Rekodi imetolewa si kwa ajili ya kujifariji.Ni kwa ajili ya kuuweka ukweli bayana ili muache uongouongo kwa jamii.Mkuu ndiyo lifeline iliyobaki nayo,
We jifariji tu
Msimu huu mshafikia malengo yenu, moja robo finally pili kumfunga Yanga na kutoa wachezaji wa wikiAnza na kipa wa utopolo atakuelekeza.
Tutaanza kuwaita Kibogoyo maana rekodi zenu zina mapengoMtafukua mpaka rekodi za kuwanga kiwanjani
AhahaaaaMsimu huu mshafikia malengo yenu, moja robo finally pili kumfunga Yanga na kutoa wachezaji wa wiki
Ulitaka wote washike namba moja ili namba kumi ashike nani?Msimu huu mshafikia malengo yenu, moja robo finally pili kumfunga Yanga na kutoa wachezaji wa wiki
Mtafukua rekodi zote mwaka huu
Baaambie baelewe papaa ya mobimba na ngai ya Simba iko fasi ipi.... π π π π π π π πTukiwaambia mmeanza kushabikia mpira Baada ya Azam Tv , Instagrams, watsup, Facebook nk
Jedwali hapo juu linaelezea kwa kina Mafanikio ya Timu kubwa zaidi Tanzania , Timu yenye Mashabiki wengi zaidi, Ya kwanza kuvaa viatu, jezi, kupanda ndege, KULETA UBINGWA CECAFA ., VAR, Simba Day nk nk.
Timu inayoongoza kufuatiliwa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii Hadi hapa JF.
HAO washamba wasiojua mpira wajinga wanadhani Simba ni Levo Yao.
HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.
NA YULE ALIYESEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU NDIO ANAZIDI KUPIGA NGOMA WAJINGA MNAICHEZA.