Anaandika Crencetius Magori

Anaandika Crencetius Magori

Alafu uyo Magori ndiye mshauri wa MO na hajui Lolote kuhusu soka, Ndio maana Muhimdi anapigwa daily na atapigwa mpaka achakae.
Yanga imecheza robo ya Caf Champion League 1969 ikacheza Tena robo ya Champion League 1970.
Yanga amecheza robo fainali ya Caf winners cup 1995 na alitolewa na Black pool ya Zimbabwe.

Yanga amecheza 1998 robo finali ikiwa imewekwa katika group, Mfumo mpya wa Caf ulioanzishwa 1997.
Kulikua na ma Group 2 , A na B yenye timu 4/4. Yanga alikua group B.

2016 Yanga amecheza Group stage ya Caf confederation.
2018 Yanga amecheza Group stage ya Caf Confederation.
2023 Yanga anacheza Nusu fainali ya Confederation cup na upo uwezekano akacheza fainali na kuwa Bingwa.

Mimi nilifikiri kauli ya Alhaji Ismail Ade Rage kuhusu umbumbumbu katika klabu ya Simba inawahusu baadhi tu kumbe mpaka walio wahi kuwa watendaji wakuu katika klabu ya Simba inawahusu.

Nahitimisha Kwa kuandika Rage apewe Maua yake.
Asante Kwa ufafanuzi
 
Na hapo ndipo mnapokwama.Katika maisha historia inaachajwe kufuatiliwa na kukumbukwa?Hampendi au inawaudhi?Kama ni hivyo muache kujiita mabingwa wa kihistoria.Mjiite "Mabingwa wa Stori za Blah Blah"!
Mkuu ndiyo lifeline iliyobaki nayo,

We jifariji tu
 
Bado mnawewesekaa???
😃😃 Wapo busy kuleta takwimu zao za miaka ya 70, na wakati wenzao Yanga wapo nusu fainali!

Na kwa namna wanavyopambana, wanaweza kufika fainali! Na hata kuchukua kombe! Sinui wakichukua watasemaje tena!!
 
Kazi kwelikweli, timu ikifanya vibaya badala ya watu kukubali kuwa timu imekuwa na kiwango duni ili wafanye maboresho wao wanadai hawana wanachowadai wachezaji utadhani hawakwenda Morocco kushindana.

Akili kama hizi uwezi kuziona kwa mashabiki wala viongozi wa timu zinazojielewa kwenye vilabu vingine bali kwa wanaSimba wenyewe. Ujinga mtupu.
 
Tukiwaambia mmeanza kushabikia mpira Baada ya Azam Tv , Instagrams, watsup, Facebook nk

Jedwali hapo juu linaelezea kwa kina Mafanikio ya Timu kubwa zaidi Tanzania , Timu yenye Mashabiki wengi zaidi, Ya kwanza kuvaa viatu, jezi, kupanda ndege, KULETA UBINGWA CECAFA ., VAR, Simba Day nk nk.
Timu inayoongoza kufuatiliwa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii Hadi hapa JF.

HAO washamba wasiojua mpira wajinga wanadhani Simba ni Levo Yao.

HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.
NA YULE ALIYESEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU NDIO ANAZIDI KUPIGA NGOMA WAJINGA MNAICHEZA.
Baaambie baelewe papaa ya mobimba na ngai ya Simba iko fasi ipi.... 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom