Anaandika Crencetius Magori

Anaandika Crencetius Magori

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
344530444_830559185303008_7099845206385724044_n.jpg
 
Tukiwaambia mmeanza kushabikia mpira Baada ya Azam Tv , Instagrams, watsup, Facebook nk

Jedwali hapo juu linaelezea kwa kina Mafanikio ya Timu kubwa zaidi Tanzania , Timu yenye Mashabiki wengi zaidi, Ya kwanza kuvaa viatu, jezi, kupanda ndege, KULETA UBINGWA CECAFA ., VAR, Simba Day nk nk.
Timu inayoongoza kufuatiliwa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii Hadi hapa JF.

HAO washamba wasiojua mpira wajinga wanadhani Simba ni Levo Yao.

HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.
NA YULE ALIYESEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU NDIO ANAZIDI KUPIGA NGOMA WAJINGA MNAICHEZA.
 
Upuuzi ni kuhangaika na mambo ya kijinga badala ya kutengeneza timu ziwe bora.......kila muda mnahangaika na historia tu,tengenezeni timu..........ni mbumbumbu pekee anahangaika na ujinga
Upuuzi zaidi ni kuukataa ukweli ili tu ufurahishe nafsi bila kuutambua ukweli na rekodi.
 
Tukiwaambia mmeanza kushabikia mpira Baada ya Azam Tv , Instagrams, watsup, Facebook nk

Jedwali hapo juu linaelezea kwa kina Mafanikio ya Timu kubwa zaidi Tanzania , Timu yenye Mashabiki wengi zaidi, Ya kwanza kuvaa viatu, jezi, kupanda ndege, KULETA UBINGWA CECAFA ., VAR, Simba Day nk nk.
Timu inayoongoza kufuatiliwa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii Hadi hapa JF.

HAO washamba wasiojua mpira wajinga wanadhani Simba ni Levo Yao.

HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.
NA YULE ALIYESEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU NDIO ANAZIDI KUPIGA NGOMA WAJINGA MNAICHEZA.
Okay sawa kumbe mafanikio ni kuwa wa kwanza kuvaa viatu, jezi, kupiga mswaki, VAR, Instagram followers
 
Back
Top Bottom