Kwenye ligi kuu?TAKWIMU ZA HAJI NI ZA UONGO HAZINA UKWELI.
Robertinho amefungwa michezo 6.
Simba hakuna Msafi.
Mbons Nabi alipigwa na Simba 2-0 na hakufukuza ?Hata mimi nafahamu, makocha wa yanga na simba hata walete makombe yote ya duniani lakini ikitokea akafungwa na yanga au simba, huyo hafai.
Hahahahaha, huyu kuna baadhi ya siri ya hizi timu anazijua, ndio maana anajiamini sanaManara alisema kwenye Derby huwa anakua 50/50 maana muda mwingine wanacheza majini...mnadhani ni wachezaji
Hapa nilimuelewa....
π π π π
Kama haya yote ni kweli basi, mashabiki wa simba wajitathimini tena wajitatjimini kweli kweli hasa na 10, kama wapo ( watakuwepo ndio maana wametajwa )Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Yah itakua..ni juzi tuu hyo video an hojiwa sijui na nani...Hahahahaha, huyu kuna baadhi ya siri ya hizi timu anazijua, ndio maana anajiamini sana
Mangungu anachekea JangwaniKifalsafa.
Muongo hata akiongea ukweli usimuamini hata kidogo.
Mi wapumbavu tu wanaweza kumsikiliza hiyo tahira
Ni maoni yake, yanaheshimiwa.Yawezekana roho ikawa inamuuma kweli, ila haifuti uzito wa hoja alizoandika.