Anaandika Haji Manara

Anaandika Haji Manara

Hata mimi nafahamu, makocha wa yanga na simba hata walete makombe yote ya duniani lakini ikitokea akafungwa na yanga au simba, huyo hafai.
 
Duuh huyu jamaa.


Asubuhi leo kwenye mahojiano radio moja alikuwa anamponda kuwa kocha sio mzuri baadae kafukuxwa nakuta kaweka tena makala hii.😂🙌
 
Nawasubiria wale wafuasi wake wanaopenda kum quote humu jukwaani, waje wamsifie baada ya kuwaponda.
 
Manara alisema kwenye Derby huwa anakua 50/50 maana muda mwingine wanacheza majini...mnadhani ni wachezaji
Hapa nilimuelewa....
😀 😀 😀 😀
Hahahahaha, huyu kuna baadhi ya siri ya hizi timu anazijua, ndio maana anajiamini sana
 
Tatizo la simba ni kuanzia.
1. Muwekezaji.
2. Mwenyekiti mangungu.
3.Try again.
4. Body ya wakurugenzi
5. Management.
6.Benchi la ufundi lote.
7. Scout analyst,nk
8. wadau.
9. Washauri wa Bodi.
10 mashabiki mbumbumbu
Akitolewa chama wanalia na kuzomea pmf sana
Kama haya yote ni kweli basi, mashabiki wa simba wajitathimini tena wajitatjimini kweli kweli hasa na 10, kama wapo ( watakuwepo ndio maana wametajwa )
 
Kifalsafa.

Muongo hata akiongea ukweli usimuamini hata kidogo.

Mi wapumbavu tu wanaweza kumsikiliza hiyo tahira
 
Kifalsafa.

Muongo hata akiongea ukweli usimuamini hata kidogo.

Mi wapumbavu tu wanaweza kumsikiliza hiyo tahira
Mangungu anachekea Jangwani
JamiiForums648469423.jpg
 
Hio comment Manara ameandika kama shabiki wa Simba SC tena kasema ukweli shida ni uongozi
 
Back
Top Bottom