Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
C&P
RAIS na Mwenyekiti wangu wa chama hongera kwa majukumu bila mapumziko ya maana. Mambo ni mengi yanaendelea hapa nchini yanayoweza kuikwaza chama katika chaguzi zijazo.
Most. Suala hili la watu kutekwa na kupotea tena tena likijiita ni "Kikosi Kazi Maalumu" inayopambana na wakosoaji wako litazamwe vizuri. Lisipuuzwe hata kidogo. Siamini kama ni kelele za debe tu kwamba hakuna kitu ndani yake. Kama wanavyojiita "Kikosi Kazi Maalum" lakini kimsingi ni wahuni tu wanaojipendekeza kwako kama walivyowahi kufanya kwa JPM na wewe unda "Kikosi Kazi Maalumu" kukichunguza tena niwemo ikiwezekana. Unachafuka, chama kinachafuka, Serikali inachafuka. Sote tunachafuka.
Pili: Suala la Wamaasai wa Ngorongoro litazamwe upya. Ku-review Last decision sio dhambi. Huko ndiko kukomaa kwa uongozi kwa falsafa ya Mwalimu Nyerere kwamba "Tujisahihishe". Hizi kelele si bure. Najua unawaamini wasaidizi wako lakini kwenye hili la kuwafuta kwenye ramani ya vijiji litazamwe upya maana kama ni kuhamq kwa hiari basi wasioona hiari hiyo waendelee na maisha yao Ngorongoro bila kijali visheni kali iliyokusudiwa.
Ahsante Mama
12:08pm
17/8/2024
0748 092092
Zanzibar, Kizimkazi Festival