Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Pole sana blo angu' Zitto Kabwe
Mbogamboga walisubiri zambarau muingie nao kwenye ndoa ya mkeka kule Zanzibar, halafu wakumanue kwenye kesi ya ubunge Kigoma. Kwa maamuzi haya ya leo it means ndoa yenu imetikisika kabla hata honeymoon haijaanza.
Anyways, tulikueleza mapema kwamba MaCCM hayaaminiki hata kidogo. Wewe ukajishaua na kauli za kidalali, “Ah, muhuni hasusiwi. Usipoongoza utaongozwa. Oktoba linda kura”. Ukaingiza timu kushiriki uchaguzi haramu ili kuhalalisha ushindi wa kura 32 milioni (98%) wa MaCCM.
Ukapigwa kwenye uchaguzi haramu, na leo umepigwa mahakamani. Kudaaadeki. Yaani unashughulikiwa kiulao-ulalo na mcheza kamari. Haki hii ni mambo gani?