Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Noma hizi shughuli za namna hiiKudaaadeki. Yami unashughulikiwa kiulao-ulalo na mcheza kamari. Haki hii ni mambo gani?
Kweli Zitto kapata jambo Zito!Pole sana blo angu' Zitto Kabwe
Mbogamboga walisubiri zambarau muingie nao kwenye ndoa ya mkeka kule Zanzibar, halafu wakumanue kwenye kesi ya ubunge Kigoma. Kwa maamuzi haya ya leo it means ndoa yenu imetikisika kabla hata honeymoon haijaanza.
Anyways, tulikueleza mapema kwamba MaCCM hayaaminiki hata kidogo. Wewe ukajishaua na kauli za kidalali, “Ah, muhuni hasusiwi. Usipoongoza utaongozwa. Oktoba linda kura”. Ukaingiza timu kushiriki uchaguzi haramu ili kuhalalisha ushindi wa kura 32 milioni (98%) wa MaCCM.
Ukapigwa kwenye uchaguzi haramu, na leo umepigwa mahakamani. Kudaaadeki. Yaani unashughulikiwa kiulao-ulalo na mcheza kamari. Haki hii ni mambo gani?
Halafu nilimsilia akiongea ujinga eti vyombo vya dola visihangaike na maandamano ya mtandaoni maana chama chenye uwezo wa kuitisha maandamano ni Act pekee na akaenda mbali Kwa kusema vyombo vya dola vihakikishe haki inatendeka kwenye uchaguzi, huyo jamaa ni mshenzi sana aiseee.Wacha wamempatia haki yake,kile chama na serikali yake hawacheki na mtu kuhusu power
Kweli jambo ni ZITO, ukitaka ligi na CCM lazima uKABWEKweli Zitto kapata jambo Zito!
Zitto kachoka sana.. Anajuta kuachia uongozi mkuu wa chama.. Nimekutana naye Miwani imemvaa.. Wamtafutie miwani size yakekiulao-ulalo
Wamefundishwa kuhubiri Amani na siyo HAKI. Ipo siku akili itawarudia tu.Pole sana blo angu' Zitto Kabwe