TOILET PAPER.
Media house ni corrupted kwa kiwango kisichorekebishika. Narejea katuni ya @masoudkipanya alipozifananisha na ‘toilet paper’. Nafikiri hakukosea.
Zinaogopa kuripoti cross-examination ya Tundu Lissu (tazama video). zinaandika na kuonesha upande wa Examination-in-chief tu. Hazitaki cross-examination.
Examination-in-chief ni hatua ya kwanza ya kutoa ushahidi ambapo kwa hatua ya sasa, mashahidi wa Jamhuri wanahojiwa na mawakili wa Serikali.
Hii inaruhusu shahidi kueleza anachokijua. Kuingiza nyaraka/vitu kuwa ushahidi. Kuonyesha mahakama shahidi anasema kweli na anajua anachokizungumza.
Media house hazifanyi kwa bahati mbaya. Ni Public Sentiment Control. These monsters are preparing people for a guilty verdict. Wanafanya kitu kinaitwa priming.
Wanaripoti ushahidi wa mashahidi wa Jamhuri (madai ya kuwa TAL alichochea vurugu au kuzuia uchaguzi wa 2025). Hawagusi cross-examination ya Tundu Lissu.
Ukiwasikiliza watangazaji wa ITV na azamtvtz huwezi kufahamu kama shahidi wa Jamhuri alitetemeka kama JENERETA wakati anafanyiwa cross-examination.
Cross-examination (dodoso) ni hatua ya kumhoji shahidi ambaye ameshaanza kutoa ushahidi wake. Wakili anamdadisi shahidi kuona kama anasema ukweli.
Kuonesha kama shahidi anasema uongo au amechanganyikiwa. Kutoa maelezo ambayo shahidi hakuyasema awali. Kudhoofisha maelezo ya awali.
Wrong coverage haishii tu katika corridors zao, inakwenda mbali. Target ni watu ambao hawafiki mahakamani na hawafuatilii kesi social media.
Lakini kama wameweza kurusha habari ya dakika tano na zaidi, kwanini wasiigawanye. Dakika 3 examination-in-chief halafu dakika 2 iwe ni cross-examination?
Watu wanaofuatilia kesi hii kupitia social media wanaona picha kamili—wanasema serikali katili ya CCM haijathibitisha hatia, ushahidi unaonekana dhaifu.
Ukitegemea mainstream media kama chanzo chako cha kwanza cha taarifa za Mahakamani, unaweza kudhani serikali katili ya CCM ina kesi imara na TAL ana hatia.
Ukifuatilia mahakamani au katika LIVE updates, unapata picha tofauti—TAL anawapa kichapo kizito mashahidi. Wanapikwa wakiwa kwenye kijeneza chao.
Trial by Media, Public Sentiment Control, Echo Chambers ndiyo kitu kinachofanywa na mainstream media. Wanaanda umma kwa uharibifu utakaofanyika.
Lengo lao wahuni kurusha Examination-in-chief pekee yake siyo kwa bahati mbaya, wanalenga kulisha raia wengi propaganda za uongo za upande wa Jamhuri.
Hata magazeti sasa hayaandiki hard news kama ilivyokuwa wakati wa nyuma.., tasnia ya habari na mawasiliano sasa inazikwa katika kaburi refu sana.
Pamoja na kuwapotezea na kuwapuuza hawa wahuni kwa ujinga wao huu, lakini wanatakiwa kushughulikiwa kwa kuelezwa ukweli kwamba waache UPUMBAVU wao.