Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nadhani ana hoja ya Msingi, Hapa TBC ndo inatakiwa inunue rights za mechi kwa azam media na pia kwa bilioni 3 kwa miaka kumi ni unyonyajiHana lolote anataka kutia mchanga kitumbua cha wenzao mwambie azungumzie wabunge kukatwa kodi
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Mpiga dili aliyenyimwa fursa...kwasasa anaona ana haki ya kuhoji kwakuwa hayuko huko ndani kwenye mkondoHizi TZS 300m anapewa nani? Swali la jumla: nani anamiliki rights za mechi kutangazwa? TFF, League Board, au timu? Nani ana haki ya kuziuza? Kama timu hazina rights, je zina nafasi kuamua nani anauziwa na kwa bei gani? Je, rights zinaweza kuuzwa match by match na sio Ligi nzima?
Mnaonaje Hoja Ya Mbunge January Makamba Wakuu
Kule kutamu kaka kuzidi machungwa asali[emoji1]"Machungwa Matamu kama Kule!"
Jamaa ana kesi Mahakama Kuu, Commercial Division, anadaiwa 1bn na NssfMpiga dili aliyenyimwa fursa...kwasasa anaona ana haki ya kuhoji kwakuwa hayuko huko ndani kwenye mkondo
Ila Team ndo zina rights lakini kwa tz maamuzi yanafanywa na Tff tuKule kutamu kaka kuzidi machungwa asali[emoji1]
Kwanza TFF hapo wamezingua ,kwanza hela ya TBC ni ndogo kwa miaka 10.Nadhani ana hoja ya Msingi, Hapa TBC ndo inatakiwa inunue rights za mechi kwa azam media na pia kwa bilioni 3 kwa miaka kumi ni unyonyaji
Hii si ilifutwa na meko? Baada ya ule msamahaJamaa ana kesi Mahakama Kuu, Commercial Division, anadaiwa 1bn na Nssf
Mdharau kule hana akili kabisaKule kutamu kaka kuzidi machungwa asali[emoji1]
Kipochi manyoya[emoji851][emoji39][emoji2957]Mdharau kule hana akili kabisa
Hawa wabunge, wanashindwa kushauri serikali yao, matokeo yake ndo hayo.Hizi TZS 300m anapewa nani? Swali la jumla: nani anamiliki rights za mechi kutangazwa? TFF, League Board, au timu? Nani ana haki ya kuziuza? Kama timu hazina rights, je zina nafasi kuamua nani anauziwa na kwa bei gani? Je, rights zinaweza kuuzwa match by match na sio Ligi nzima?
Mnaonaje Hoja Ya Mbunge January Makamba Wakuu
Mwambie tz hatujafikia huko bado, tz hata kucheza mechi moja home moja ugenini hatuwezi, unacheza mechi tano ugenini tano home yaani vululuvululuHizi TZS 300m anapewa nani? Swali la jumla: nani anamiliki rights za mechi kutangazwa? TFF, League Board, au timu? Nani ana haki ya kuziuza? Kama timu hazina rights, je zina nafasi kuamua nani anauziwa na kwa bei gani? Je, rights zinaweza kuuzwa match by match na sio Ligi nzima?
Mnaonaje Hoja Ya Mbunge January Makamba Wakuu