Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hizi TZS 300m anapewa nani? Swali la jumla: nani anamiliki rights za mechi kutangazwa? TFF, League Board, au timu? Nani ana haki ya kuziuza? Kama timu hazina rights, je zina nafasi kuamua nani anauziwa na kwa bei gani? Je, rights zinaweza kuuzwa match by match na sio Ligi nzima?
Mnaonaje Hoja Ya Mbunge January Makamba Wakuu
Mnaonaje Hoja Ya Mbunge January Makamba Wakuu