Anaandika Mwanasimba Crescentius Magori

Anaandika Mwanasimba Crescentius Magori

Mwaka wa nne huu shekhe tunajitekenya na kucheka wenyewe... usisahau tutanzia raundi ya pili kule kwingine...
Mlikua na backup kubwa sana nyuma na ndio iliyommaliza manji,backup yenu kushney haina sauti now tukutane uwanjani
 
"Imekuwa kawaida yenu kuongea, hata kwa Miquissone mlisema ameshindwa kucheza Afrika Kusini haya leo hii yuko wapi, tumefanya Scout ya kutosha, huyu Duncan Nyoni ni kama lidude hivi la kutisha, subirini, tuna watu"

"Niwahakikishie wana Simba, tunaenda kuwa na timu bora msimu huu kuliko msimu uliopita, lengo letu kwenye miaka michache ijayo tuwe miongoni mwa timu tano bora Afrika"

Crescentius Magori
Ligi karibu inaanza,tutathibitisha maneno ya huyu mtu vinginevyo ni umbeya tu wa kujifariji.
 
Hasa Hans Pope, hata baada ya kukwepa kodi, alikimbia nchi akarudi akiwa amajipanga vivyo na akamaliza kesi.
Kama Hans alikwepa kodi au la tuiachie mahakama, kesi bado haijaisha na ipo mahakamani imefikia hatua ya kujitetea (Defense), na tayari mshtakiwa wa kwanza Aveva ameanza kujitetea.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Rage aliwachoka kiasi cha kufikia kuwaita mbumbumbu!!
Luc alisema washabiki wa Yanga ni nyani tu wanachoweza ni kuzomea zomea tu.
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Kama Hans alikwepa kodi au la tuiachie mahakama, kesi bado haijaisha na ipo mahakamani imefikia hatua ya kujitetea (Defense), na tayari mshtakiwa wa kwanza Aveva ameanza kujitetea.
Huo ni umafia mmoja, kwenye uhaini unakumbuka vizuri?
 
Kwenye uhaini Hans alipatikana na hatia, alihukumiwa maisha jela, alitumikia miaka 10 kifungoni, na miaka miwili mahabusu, Mwinyi akamsamehe mwaka 1995 baada ya kujiridhisha ametubu na amejirikebisha. Hii kesi aliyonao sasa hivi bado haijaisha, hivyo bado yupo clean, tusubiri hukumu.
 
Huyo ni mafia aliyeiva haswa
 
"Imekuwa kawaida yenu kuongea, hata kwa Miquissone mlisema ameshindwa kucheza Afrika Kusini haya leo hii yuko wapi, tumefanya Scout ya kutosha, huyu Duncan Nyoni ni kama lidude hivi la kutisha, subirini, tuna watu"

"Niwahakikishie wana Simba, tunaenda kuwa na timu bora msimu huu kuliko msimu uliopita, lengo letu kwenye miaka michache ijayo tuwe miongoni mwa timu tano bora Afrika"

Crescentius Magori
Haya kikosi kipana. Kiko wapi sasa mbina mmepanuliwa pale Mkapa 🏟? Na bado this time around mpaka muite maji mma.
 
Ni kweli kabisa na muda huo huo umejidhihirisha ukweli wake kwa misimu minne iliyopita.
yule mwalimu wetu muda aliemzungumzia mdau huko nyuma..ndo huyu hapa sasa anajidhihirisha wakati huu
 
Back
Top Bottom