NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Acha kabisa,hawa jamaa ni ma-spy wa soka la Bongo.wanaweza kupindua meza muda wowote na mchezaji yeyote yule hata kama yupo kwa Manyani f.c.Wazee wa figisu
Wew pekee ndiyo ulijua alikimbia au serikali pia ilijua.Hasa Hans Pope, hata baada ya kukwepa kodi, alikimbia nchi akarudi akiwa amajipanga vivyo na akamaliza kesi.
Swali la KITOTO, la mtu asye na ubongo. Mpumbavuy km ww nani atakujibu.Mpunga wa mauzo ya Luís yanasoma kwenye acc Mo au kwenye acc ya Simba Sports Club?
Nalog off
Kwa kuwa wewe ndiye uliyenipa hilo jina la mpumbavu basi wewe ndiye WAJINA wanguSwali la KITOTO, la mtu asye na ubongo. Mpumbavuy km ww nani atakujibu.
Unasoma kwenye ac ya Simba,je'unaswali lingine?Mpunga wa mauzo ya Luís yanasoma kwenye acc Mo au kwenye acc ya Simba Sports Club?
Nalog off
Mlikua na backup kubwa sana nyuma na ndio iliyommaliza manji,backup yenu kushney haina sauti now tukutane uwanjaniMwaka wa nne huu shekhe tunajitekenya na kucheka wenyewe... usisahau tutanzia raundi ya pili kule kwingine...
Una maanisha full package ..Hawa jamaa kuna mashine wameileta inaitwa Sadio Kanute. Huyu mwamba unaambiwa anapiga pasi kama chama, anadribo kama Miquison,anafunga kama Bocco anakera kama Morisson
Ligi karibu inaanza,tutathibitisha maneno ya huyu mtu vinginevyo ni umbeya tu wa kujifariji."Imekuwa kawaida yenu kuongea, hata kwa Miquissone mlisema ameshindwa kucheza Afrika Kusini haya leo hii yuko wapi, tumefanya Scout ya kutosha, huyu Duncan Nyoni ni kama lidude hivi la kutisha, subirini, tuna watu"
"Niwahakikishie wana Simba, tunaenda kuwa na timu bora msimu huu kuliko msimu uliopita, lengo letu kwenye miaka michache ijayo tuwe miongoni mwa timu tano bora Afrika"
Crescentius Magori
Safi kabisaUnasoma kwenye ac ya Simba,je'unaswali lingine?
Muda ni msemaji makini kuliko Magoli tusubiri na tuone
Kama Hans alikwepa kodi au la tuiachie mahakama, kesi bado haijaisha na ipo mahakamani imefikia hatua ya kujitetea (Defense), na tayari mshtakiwa wa kwanza Aveva ameanza kujitetea.Hasa Hans Pope, hata baada ya kukwepa kodi, alikimbia nchi akarudi akiwa amajipanga vivyo na akamaliza kesi.
Luc alisema washabiki wa Yanga ni nyani tu wanachoweza ni kuzomea zomea tu.[emoji16][emoji16][emoji16] Rage aliwachoka kiasi cha kufikia kuwaita mbumbumbu!!
Bongo kila kitu burudani hua nacheka sana kufuatilia mambo ya bongoHahah, mpira wa bongo burudani sana...
Huo ni umafia mmoja, kwenye uhaini unakumbuka vizuri?Kama Hans alikwepa kodi au la tuiachie mahakama, kesi bado haijaisha na ipo mahakamani imefikia hatua ya kujitetea (Defense), na tayari mshtakiwa wa kwanza Aveva ameanza kujitetea.
Kwenye uhaini Hans alipatikana na hatia, alihukumiwa maisha jela, alitumikia miaka 10 kifungoni, na miaka miwili mahabusu, Mwinyi akamsamehe mwaka 1995 baada ya kujiridhisha ametubu na amejirikebisha. Hii kesi aliyonao sasa hivi bado haijaisha, hivyo bado yupo clean, tusubiri hukumu.Huo ni umafia mmoja, kwenye uhaini unakumbuka vizuri?
Huyo ni mafia aliyeiva haswaKwenye uhaini Hans alipatikana na hatia, alihukumiwa maisha jela, alitumikia miaka 10 kifungoni, na miaka miwili mahabusu, Mwinyi akamsamehe mwaka 1995 baada ya kujiridhisha ametubu na amejirikebisha. Hii kesi aliyonao sasa hivi bado haijaisha, hivyo bado yupo clean, tusubiri hukumu.
Haya kikosi kipana. Kiko wapi sasa mbina mmepanuliwa pale Mkapa 🏟? Na bado this time around mpaka muite maji mma."Imekuwa kawaida yenu kuongea, hata kwa Miquissone mlisema ameshindwa kucheza Afrika Kusini haya leo hii yuko wapi, tumefanya Scout ya kutosha, huyu Duncan Nyoni ni kama lidude hivi la kutisha, subirini, tuna watu"
"Niwahakikishie wana Simba, tunaenda kuwa na timu bora msimu huu kuliko msimu uliopita, lengo letu kwenye miaka michache ijayo tuwe miongoni mwa timu tano bora Afrika"
Crescentius Magori
yule mwalimu wetu muda aliemzungumzia mdau huko nyuma..ndo huyu hapa sasa anajidhihirisha wakati huuNi kweli kabisa na muda huo huo umejidhihirisha ukweli wake kwa misimu minne iliyopita.