Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao.
Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya.
Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda ambao kuna viongozi wa kisiasa wametoa matamko yasiyopendeza kwa uongozi wa nchi ?