Anachofanya kadinali Pengo kupitia redio ni hatari wakati wa taharuki.Yasijeyakatokea kama ya Rwanda.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258

Kwenu maandamano siyo demokrasia?

Ruto: Kwenye demokrasia, Maandamano ni jambo la kawaida
 
Hii nchi watu tunaogopa mambo ya msingi kuliko tunavyoogopa kutekwa na kuuawa na Hawa polisi.

Inakuwaje nguvu imekuwa kubwa kudeal na maandamano wakati ni ya amani?

Ama kwa hakika mchawi anaogopa mwanga! Mnaogopa kuwa exposed Dunia isijue madhambi mnayofanya gizani Huku mnasingingizia Tz ni chi ya amani wakati uhalisia ni chi ya waoga?
 
Yuko sahihi kwa wakati sahihi na hiyo ndio maana halisi ya kuwa kiongozi wa dini.. Kama anakosea wakamkamate
 
Yuko sahihi kwa wakati sahihi na hiyo ndio maana halisi ya kuwa kiongozi wa dini.. Kama anakosea wakamkamate
Hakuna sababu ya kumkamata.
Asubiri wenzake nao wamjibu tu.
Wakatoliki huwa hawabishani
 
pengo hata kipindi cha jiwe alisema bora wachache wafe ili wengi wapone. asili yake sumbawanga huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…