Pre GE2025 Anachofanya Mchungaji Msigwa ni kuibomoa CCM huku akiijenga CHADEMA. Kwanini anatumia akili ndogo badala ya kubwa kama alivyokuwa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa hana tofauti na mnyalu mwenzake Christina Shusho! Aconcetrate na ndoa yake mpya,aache kumnanga bwana wake wa zamani
 

Hoja hii hata ungeipeleka kwenye part cocus watashauri anyamaze kwanza na apunguze kuandika sana mitandaoni hadi upepo utulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…