Anachokifanya diamond mida hii

Status
Not open for further replies.
"wanamuziki hawana busara" ni kauli ya philopopher flani hiv bahat mbaya nimemsahau jina.So kutuletea upuuzi kama huu hapa jf usilie utakapotukanwa.
 
mbona hujatutaarifu hiyo jumamosi alikua na wema sepetu leaders?na wema alishangiliwa mbaya?au una sikia aibu kwa ulivyokua ukitwambia diamond hawezi kuachana na peny na kurudiana na wema? mengine ambayo huna uhakika nayo usiwe unayaongea kwanza.
 

Ndugu fanya kazi yako, ma pr huwa hawaangaik kujibu majungu, wewe ndo pr pekee unaegombana na waocomment na kuwajib vibaya. Ukiandika kitu kama hiki sepa,umefanya kazi yako,akija mtu akacomment positive,like then sepa,akija mtu akakoment negative but katika kutaka kuelewa mweleweshe aelewe, akicoment upuuzi anaoujua achana nae. Hii ni kote fb,insta na hapa.otherwise una loose credibility. Dont argue with fools and haters just do ur thing ehhh!. .. Kuna wengine hapa ni mameneja wa wasanii ambao hawafanyi vizur kwenye game,wengine ndugu zao ,wengine wapenz wao unadhan hasira walizonazo kwa kuwa mtu wao hayupo juu kama domo unaweza kupambana nazo hapa??? Acha ku argue fanya yale yakupasayo kufanya basi!!!!
 

ulikuwa wapi ndugu??
ushauri wako naanza kuufanyia kaz leo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…