Ana level gani ya elimu huyu? Naona hana tofauti na Haji..
Huyu makofia anajipigia tu pesa za usajili hapo mikiani.
Halafu hizi figisufigisu za kizamani ndio zinazosababisha soka letu bara halikui.
Hans Pope ni haini,anafikiri kila kitu ni kupindua tuuHans Pope hazimtoshi hata kidogo. Kwani wamiliki hawajui yupo Lipuli? Lazima wana makubaliano nayo na lazima yaheshimiwe. Hii inaitwa third party ownership. Ina usumbufu wake EPL wamepiga marufuku wachezaji wenye third party ownership. Iliwahi kutokea kwa Carlos Tevex akiwa West Ham United kabla ya kwenda Man U
Tuwatoe tumweke nani?Nyika wa yanga anaesajili akina Mkomola na kufunga usajiliKuna haja Simba kuwatoa hawa wanao ji ita kamati ya usajiri... Simba ina hela iwape watu wanao jua kufanya usajiri na kufanya utafiti wa wachezaji
Wewe una level gani piaAn
Ana level gani ya elimu huyu? Naona hana tofauti na Haji..
‘Akina’ kwa Kiswahili inamaanisha ni mjumuiko wa zaidi ya mtu mmoja, hata kama ni wawili. Kwa tafsiri ya neno hilohilo, Simba wamesaini ‘akina’ nani?Tuwatoe tumweke nani?Nyika wa yanga anaesajili akina Mkomola na kufunga usajili
Siyo vizuri, kwa sababu taratibu tayari zilikwishakiukwa. Makibaliano yoyote ya Simba na Lipuli kwa sasa nayatafuta kasoro kwamba Simba walimrubuni, kumficha, kuzungumza naye na hatimaye kumsainisha Kwasi akiwa tayari na mkataba na Lipuli. Hatua dhidi ya kosa hilo ni lazima zichukuliwe, hasa kwa sababu Lipuli yenyewe ilikwishalilalamikia rasmi jambo hilo TFF. Lakini hata isingelalamika, bado kosa limefanyika na linahusu Ligi nzima siyo Lipuli peke yake. TFF, Simba na Lipuli wanachotaka kukifanya sasa ni upuuzi sawa na wa kuchinja kuku aliyekwishafariki ili nyama yake iwe halali kwa waumini wahusika!Ni vizuri wameamua kufata utaratibu japo wamechelewa. Wangeandika barua na kukaa na lipuli mapema hili suala lingekuwa limeshaisha siku nyingi sana. Tatizo la hizi timu kubwa hazitaki kufuata utaratibu zinataka zitumie ubabe. Ningekuwa kiongozi wa lipuli huu ndio wakati wa kuwapiga hao simba pesa ndefu ya kutosha kusajili wachezaji wawili wenye uwezo wa kwasi ili mwakani waje tena kusajili kwa sababu wamejitoa ufahamu hawataki kufanya scouting ya wachezaji wanasubiri waletewe.