Opera Min
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 890
- 658
Nimemskiliza kwa makini sana,eti anasema Asante Kwasi sio mchezaji anayemilikiwa na Lipuli,ni mchezaji yupo chini academybya ghana kupitia kwa Agenti wake, so Lipuli wakizingua wanamchukua juu kwa juu...hii kitu mbona kama haiingii akilini?
Simba waache ujanja wa kizamani...
Simba waache ujanja wa kizamani...