Anachomaanisha waziri mkuu ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kulinda mipaka ya nchi yetu

Anachomaanisha waziri mkuu ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kulinda mipaka ya nchi yetu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Impliedly ni kuwa Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwetu wameshindwa kulinda mipaka ya nchi hii.

Raia wa kigeni wanaingia nchini wakiwa na silaha za kivita kisha wanawachochea vijana wa kitanzania watu wazima kuingia mitaani kuikataa CCM.

Kwa ujumla hawa wakuu wa vyombo vya usalama wamefeli.

Nashangaa Waziri mkuu kwa nini bado anafanya nao kazi.
 
Hao itakuwa ni wale waganda tulioambiwa bila shaka
 
Back
Top Bottom