The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Inasikitisha na kuchekesha kwa wakati mmoja• BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa
(Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho)
• Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO
• Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi
(Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu)
• mifumo ya kifedha ( Gepg, tips , tiss ipo wazi)
• Kuna uwezekano desemba mishahara zisifanyike watazuia mifumo ya kifedha..
• mifumo ya fedha haipo Salama tena anatahadharisha desemba itakuwa mwezi mgumu sana miamala ya kifedha
Lengo ni ku paralysis government
Meeting point : Ofisi za UN
Kufatilia live hiyo ingia TikTok washa VPN andika neno summerclif00 ufatilie LIVE yake
Masaki kuna nini au hiyo ni nickname?Habil sio Mtanzania au ni mtu anayefatilia Jamiiforums na Internet sana, Ametoa very startegic Idea.
Watu wakutane UN, that is very strategic
Pia ni Masaki, so technically kaka yake Polepole alisema tukutane Masaki, this is interesting
Huyu Habil anawachota tu nenda kasikilize ile simu aliyoongea na msaidizi wa Murilo utanotice kitu 😅😅Huyu jamaa sjamsikia maana sina tiktok,lakin mnayoyasema kuhusu yeye hadi naogopa,sjui angekuwepo na pole pole ingekuwaje,idd amin dada angekonda
Sio muda mrefu utaanza kuporomoshewa matusi mpaka utaanza kububujikwa na machoziHuyu Habil anawachota tu nenda kasikilize ile simu aliyoongea na msaidizi wa Murilo utanotice kitu 😅😅
Hisia zangu zinanituma ni Mkenya kulingana na kiswahili chake na anajichanganyaga kwenye maelezo yake
Hilo la BOT alitoa deadline ambayo ilikuwa jana but hamna kitu hadi leo
Porojo porojo tu kama zile zile za Pole poleHuyu Habil anawachota tu nenda kasikilize ile simu aliyoongea na msaidizi wa Murilo utanotice kitu 😅😅
Hisia zangu zinanituma ni Mkenya kulingana na kiswahili chake na anajichanganyaga kwenye maelezo yake
Hilo la BOT alitoa deadline ambayo ilikuwa jana but hamna kitu hadi leo
Huyo dogo sijaweza kumsikiliza kabisa kwasababu siko interested kumsikiliza ila Polepole hazikua porojo ndo maana yaliyomtokea kwa kile alichokua anazungumza polepole amenitangulia darasa moja tu AzaniaPorojo porojo tu kama zile zile za Pole pole
Ni mtu wa njeProject hiyo mtakamatwa kama kumbikumbi. Mmesahau ya kigogo baadae akaja kutugeuka.
Alikuwa wapi siku zote
Jamaa yuko very calm anapoongea. Habishani, hapayuki, hapanic. Hata ikitokea mtu kwenye comment kamprovocal jamaa anampa elim kwa ustaarabu.. Jamaa kila kitu anachoongea ana data zake. In short ni mtu anaejua anachokifanya.Huyu jamaa sjamsikia maana sina tiktok,lakin mnayoyasema kuhusu yeye hadi naogopa,sjui angekuwepo na pole pole ingekuwaje,idd amin dada angekonda
Huyo summer nadhani hana elimu au sio mfatiliaji wa mambo yeye kazi yake ni kuhost LiveKuna vitu anakosea ila anajiandaa na sana taarifa zake.
Leo katoa wazo la kwenda UN, this is very strategic and can have significant impact.
Pia kama ni Asset ya usalama wa Nchi jirani basi wamejua jinsi ya deal vijana wa Tanzania na TISS imeshindwa kuliona tatizo la msingi.
Kuna mtu anaitwa summer huyu inaonekana ni very naive, na sio mjuzi wa mambo mengi.
Kingine leo katika mada zake ameonesha hajui tarehe 9 Dec ni siku ya mapumziko.
na hapo ndo itakua penyewe sasa kutakucha kama sio kupambazuka😄ipo siku mwisho wa mwezi watu hawatalipwa mishahara
Hacking is illegal if you can hack into a bank huwezi kujitangaza.Huyo summer nadhani hana elimu au sio mfatiliaji wa mambo yeye kazi yake ni kuhost Live
Kitu kingine ikiwa kama ni kweli anachozungumza kuhusu mifumo ya kibenk kuwa imechezewa basi ipo siku mwisho wa mwezi watu hawatalipwa mishahara
Una hack halafu hujitangazi maana yake huja hack na huwezi ku hack...Hacking is illegal if you can hack into a bank huwezi kujitangaza.
So I think he is very good in information war
Jana alilala katikati ya live 🤣🤣🤣 anyways awe mkweli au tapeli, as long as anatufaa saivi couldn’t care less!Huyo summer nadhani hana elimu au sio mfatiliaji wa mambo yeye kazi yake ni kuhost Live
Kitu kingine ikiwa kama ni kweli anachozungumza kuhusu mifumo ya kibenk kuwa imechezewa basi ipo siku mwisho wa mwezi watu hawatalipwa mishahara