Wafukuzwe kazi RPC OCD na Polisiccm wote walioshiriki kuwaua watu licha ya IGP kuwalinda ingawa na yeye yupo mbioni kufikishwa mahakama ya uhalifu ICC The HagueKama mifumo ya taasisi nyeti zote za nchi zimeingiliwa, basi hatupo salama hata kwa nchi shindani zetu. Dunia sasa hivi sehemu ya vita imekuwa sana kupitia ( cyber war ). Kama nchi itabidi kuangalia hili kwa umakini wa hali ya juu, maana ni rahisi sana kuua uchumi kupitia Cyber war
Wewe mda wa kuwaua kuwateka kuwabambikia watu kesi na sasa kula rushwa toka kwa vijana waliopo jela unao mwingi, mda wa kufanya mambo ya hovyo unao mwingi zaidiMi simuamini siwezi poteza muda wangu kumsikiliza
Hiyo ndiyo tofauti ya Africa na Europe (nchi zingine), wangechukulia very serious hili jambo, sasa mswahili kama wewe uliozoea “every thing for granted” utashangaa hadi siku anaangusha ndege ya ushungi wenu ndiyo mnasema ahaaaaaSio muda mrefu utaanza kuporomoshewa matusi mpaka utaanza kububujikwa na machozi
Huyu mtu ni muongomuongo basi tu binadamu hatulingani akili, sisi tunaona hamna kitu hapo, wengine wanaamini kila kitu…..
mkuu unatumia vpn gan?
Duh,• mifumo ya fedha haipo Salama tena anatahadharisha desemba itakuwa mwezi mgumu sana miamala ya kifedha
Lengo ni ku paralysis government
1.1.1.1 warp ingia search play store Iko bomba sana haisumbuimkuu unatumia vpn gan?
Endelea kutumia hisia..Huyu Habil anawachota tu nenda kasikilize ile simu aliyoongea na msaidizi wa Murilo utanotice kitu 😅😅
Hisia zangu zinanituma ni Mkenya kulingana na kiswahili chake na anajichanganyaga kwenye maelezo yake
Hilo la BOT alitoa deadline ambayo ilikuwa jana but hamna kitu hadi leo
We ulitegemea nini? BoT ilipuke? Subiri. Serikali yako itakapoanza kushindwa kuwalipa mshahara ndo utagundua kulikuwa na kitu. Hii ni vita ya kiteknolojia, sio mabomu.Hilo la BOT alitoa deadline ambayo ilikuwa jana but hamna kitu hadi leo
Nchi zingine sauti yake ingeshageuzwa vipindi vya ze komedi kwenye tv na redio mpaka matangazo ya biashara…Hiyo ndiyo tofauti ya Africa na Europe (nchi zingine), wangechukulia very serious hili jambo, sasa mswahili kama wewe uliozoea “every thing for granted” utashangaa hadi siku anaangusha ndege ya ushungi wenu ndiyo mnasema ahaaaaa
Yaan wee kukaa kwako states, bas unaonaga wenzio ni mbulula kweliii.Nchi zingine sauti yake ingeshageuzwa vipindi vya ze komedi kwenye tv na redio mpaka matangazo ya biashara…
Pole pole haikuwa porojo effect yake, watu kugoma kupiga kura na maandamano na wangemuacha hadi sasa ungeona ccm ipo uchi wa mnyama.Porojo porojo tu kama zile zile za Pole pole
Duh kwa hiyo Ali Kibao aliuwawa na ENJIOO?Tapeli huyo , Ile hoja ya vijana wanatumiwa vibaya na enjioo zanjeee na mataifa adui kutuchonganisha. Wapimbavu watamufuata kiholela