Anachoona kanji na tunacho ona mashabiki ni vitu tofauti kabisa

Kitu kimoja ambacho mnatakiwa kujua ni kwamba odds hubadilika kutokana na market. Watu wengi wakiweka mzigo kwa Mamelodi siku hizi mbili, si ajabu kufikia Alhamis odds zikasoma kinyume. Kuna namna huwa wanabadili ili kuendana na risk ya kupata hasara iwapo wengi walioweka mzigo wamechagua upande mmoja, wakawa sahihi
 
Kama head to head haipo wana consider team power kwa wakati huo ,
 
Hiyo myth
 
mtego huo
 
Simba na Yanga wote wana mechi ngumu sana. Ila wakati mwingine Kanji huwa anaweka mitego tujae. Hapo ni kuofuata akili yako.
 
Kanji anataka kutajirisha watu. Mkuu weka milion hapo kwa Yanga upate milioni tatu. Unakwama wapi?
 
Just home court Advantage nothing more, wameshajua yanga wametangaza free entrance only that
 
Wewe hujaelewa.

Linganisha odds za Ahly 2.15 ukilinganisha na odds za Mamelod 2.78.

Hapo kampuni la betting linaamini Ahly ana nafasi kubwa kushinda. Wakati jamii inaamini Mamelod ndio mwenye nafasi kubwa kushinda.
 
Wewe hujaelewa.

Linganisha odds za Ahly 2.15 ukilinganisha na odds za Mamelod 2.78.

Hapo kampuni la betting linaamini Ahly ana nafasi kubwa kushinda. Wakati jamii inaamini Mamelod ndio mwenye nafasi kubwa kushinda.
Soma tena nilicho andika boss , ni kama ume miss point.
 
Soma tena nilicho andika boss , ni kama ume miss point.
Nilichoandika ndio ulichosema wewe ila nimetumia maneno tofauti. Nimewatumia wapinzani kama reference.

Ahly 2.15
Mamelod 2.78

Kampuni linaamini ni rahisi Ahly kushinda kuliko Mamelod kushinda. Ndio maana odds za Ahly ni ndogo za Mamelod ni kubwa.

Jamii inaamini Ahly ni ngumu kushinda. Jamii inaamini Mamelod ina nafasi kubwa. Nisome vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…