Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kweli kuwa simba ana mechi rahisi,yanga ina equally tough match but tutapambana sanaUkiingia mtaani mashabiki walio wengi wanaamini kwamba Yanga ndio ana mechi ngumu zaidi ya Simba , mashabiki wa yanga wali ingia unyonge baada ya Droo kupangwa.
Huku wa Simba wakitamba kwamba mfupa wao washauzoea hivyo jambo lao wanalimaliza safari hii na mbwai ita kua mbwai afe kipa afe beki.
Kanji anaona tofauti kabisa.
Yeye anaona Yanga ana mfupa mwepesi zaidi kwanini Simba ana Odd kubwa kuliko mpizani wake Al Ahly licha ya kuwa nyumbani
Simba ana odd kuzidi Yanga ambae anasemwa kuwa underdog na mgeni wa mashindano
Mamelody ana odd kubwa kuliko Yanga na hii maana yake Yanga ana ingia kwenye mechi akiwa kama favourite
Sijui kanji kaangalia vigezo gani ila ninacho jua kuwa Ods zina pangwa kutikana takwimu, uwezo wa timu na historia zake.
View attachment 2941091
Nilichosema ndicho kinachotokea katika market. Odds za Yanga zinapanda na zile za Mamelodi pamoja na kutoa sare zinashukaHiyo myth
💯Watu wana majini mzee. We ona kama mchezo tu.