Anachotafuta Diamond kwasasa ni nafasi ya kisiasa...lakini awe makini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Hitaji kuu la binadamu yoyote katika kuhangaika kote ni kutafuta mafanikio....mafanikio katika maisha ni muhimu sana
Kifedha
Kielimu
Ustawi
Uongozi
Familia na umaarufu
Safari ya mafanikio huanza kwa kusaka elimu ....lakini si wote huweza kuendea njia hii mpaka mwisho kutokana na changamoto mbalimbali....
Hawa wanaoishia njiani huamua kujikita kwenye fani nyingine kama sanaa ,ufundi , biashara na shughuli nyingine za ubunifu...kwa kuachana na elimu mapema huwekeza zaidi kwa kile wanachoona ndio mustabali wao ulipo....juhudi zao,nguvu ,muda,maarifa na nyota huwapeleka taratibu kwenye njia ya mafanikio... Hapa hutafuta msingi wa kusonga mbele...ni upi huo
Kwanza sehemu ya kupumzisha mwili
Pili sehemu ya kuingiza kipato
Tatu sehemu ya kupata mahitaji ya lazima halafu baadae ya muhimu na baada ya hapo ya ziada...

Utajiri ni tafsiri ya ziada ,yani umeshapata kila kitu cha muhimu na cha lazima sasa unatafuta ziada...mtu akishapata ziada .....hii ni ngazi ya kwanza katika ngazi za matamanio ya binadamu..baada ya hapo huingia ngazi ya pili ambayo ni umaarufu.....akimaliza huingia ngazi ya tatu ambayo ni kutambulika...hapa ndio kile kipindi cha kutoa misaada mbalimbali ,kupewa vyeo vya heshima kwenye taasisi na mashirika...kualikwa sehemu tofauti kwa ajili ya kuwa mgeni rasmi nknk...baada ya ngazi zote hizo sasa ni wakati wa wa kusaka heshima kwa muktadha wa nafasi ya kutumikia jamii kisiasa.....(japo kiuhalisia ni kutaka kulinda maslahi binafi)
Diamond yuko njia hii kwasasa si wa kwanza na hatakuwa wa mwisho ,walikuwepo kina Manji, Nimrodi mkono wakili msomi tajiri,Eric shigongo,Belusconi ,Teumph na wengine wengi....

Kikubwa anachopaswa kumakinika nacho Diamond ni kaliba ya watu waliomzunguka wakijifanya marafiki wema kwake...Hawa ni aina ya watu wanaotaka tu kumtumia kwa maslahi binafsi ya kisiasa...hawako tayari kumuona Diamond akiwa mnga'vu kuliko wao kwenye ulingo wa siasa.....

Past story: Ritz aliwahi kufungwa gidamu
 
Hujamuelewa Kubenea....yeye akijiuzulu hapo Disemba hagombei tena ......Mond atatosha!
 
Ndugu mtanzagiza hilo kwakweli si lakweli hata kidogo diamond hawezi na hana uwezo wa kuwa mwanasiasa, kwa kila anachokifanya ni ile kufikiria ulipotoka.
.
Mfano bora kabisa unaonihusu mimi nikiombwa pesa ya kula na mtu yeyote ninampa kwanini nampa.
nimepitia hayo nimeshinda njaa sana na watu wa kunisaidia nipate kula walikuepo ila hawakutaka kufanya hivyo hivyo ninaijua njaa vilivyo mtu kama manji unampa kura utegemee akusaidie nini shida hazijui.
.
Diamond ni mmoja wa watu ambae anafanya yote hayo kwa kujua na kutambua nini watu wanapitia, anajipendekeza kwa kina makonda ili asije akaanguka hiyo inaitwa kula na kipofu.
.
Tizama ruge alivyoibeba ile kampeni ya makonda ya kufanya ziara kituo chao kilivyozidi kupata viewers sasa kalikoroga wamemnyea
 
Mahali alipo makonda sio salama kabisa...... huyo Makonda na element za uchawi kabisa. diamond awe makini sana na huyu mtu sio salama kwa biashara yake
 
Hitaji kuu la binadamu yoyote katika kuhangaika kote ni kutafuta mafanikio....mafanikio katika maisha ni muhimu sana
Kifedha
Kielimu
Ustawi
Uongozi
Familia na umaarufu
Safari ya mafanikio huanza kwa kusaka elimu ....lakini si wote huweza kuendea njia hii mpaka mwisho kutokana na changamoto mbalimbali....
Hawa wanaoishia njiani huamua kujikita kwenye fani nyingine kama sanaa ,ufundi , biashara na shughuli nyingine za ubunifu...kwa kuachana na elimu mapema huwekeza zaidi kwa kile wanachoona ndio mustabali wao ulipo....juhudi zao,nguvu ,muda,maarifa na nyota huwapeleka taratibu kwenye njia ya mafanikio... Hapa hutafuta msingi wa kusonga mbele...ni upi huo
Kwanza sehemu ya kupumzisha mwili
Pili sehemu ya kuingiza kipato
Tatu sehemu ya kupata mahitaji ya lazima halafu baadae ya muhimu na baada ya hapo ya ziada...

Utajiri ni tafsiri ya ziada ,yani umeshapata kila kitu cha muhimu na cha lazima sasa unatafuta ziada...mtu akishapata ziada .....hii ni ngazi ya kwanza katika ngazi za matamanio ya binadamu..baada ya hapo huingia ngazi ya pili ambayo ni umaarufu.....akimaliza huingia ngazi ya tatu ambayo ni kutambulika...hapa ndio kile kipindi cha kutoa misaada mbalimbali ,kupewa vyeo vya heshima kwenye taasisi na mashirika...kualikwa sehemu tofauti kwa ajili ya kuwa mgeni rasmi nknk...baada ya ngazi zote hizo sasa ni wakati wa wa kusaka heshima kwa muktadha wa nafasi ya kutumikia jamii kisiasa.....(japo kiuhalisia ni kutaka kulinda maslahi binafi)
Diamond yuko njia hii kwasasa si wa kwanza na hatakuwa wa mwisho ,walikuwepo kina Manji, Nimrodi mkono wakili msomi tajiri,Eric shigongo,Belusconi ,Teumph na wengine wengi....

Kikubwa anachopaswa kumakinika nacho Diamond ni kaliba ya watu waliomzunguka wakijifanya marafiki wema kwake...Hawa ni aina ya watu wanaotaka tu kumtumia kwa maslahi binafsi ya kisiasa...hawako tayari kumuona Diamond akiwa mnga'vu kuliko wao kwenye ulingo wa siasa.....

Past story: Ritz aliwahi kufungwa gidamu
Tahadhari yako nimeipokea, ila ndoto yangu lazima niipiganie maana hiyo ndio furaha yangu ya kweli
 
Kwa sasa, sidhani! Bado Diamond yupo juu na pale alipo anatengeneza pesa zaidi kuliko kwenye siasa. Na hata ukimwangalia utagundua anaonekana bado ni money hunter kuliko kuwa interested na kutafuta nafasi za kisiasa!

Tusisahau hii misaada Diamond hajaanza sasa ingawaje hii ya juzi imekiki zaidi pangine kwa sababu Diamond aliyetoa misaada pale Tandale ni tofauti na Diamond ambae aliahidi kusomesha na kweli akawa anasomesha takribani watoto 3-5 pale East African Intl School kwa sababu tu walicheza vizuri wimbo wake! Ni Diamond huyo huyo ambae aliwaho kumpa Mzee Muhidn Ngurumo usafiri! NI Diamond huyo ambae amekuwa akijenga nyumba za ibada za imani yake! Ni Diamond huyo huyo ambae miaka michache iliyopita alifanya ukarabati wa majengo ya shule pale Tandale na kuwachimbia visima vya maji!

Tena basi, ingawaje Diamond hajawahi kuficha kwamba yeye ni CCM lakini ukiwa makini utagundua u-CCM wake ni u-CCM Maslahi! Usisahau, wakati yupo kijana mdogo tu in 2010, akapata mchongo wa kuzunguka na CCM Tanzania kwenye kampeni za uchaguzi. Hii maana yake ni kwamba, kama ni u-CCM basi u-CCM huo ulianzia pale ambapo ilikuwa ni biashara kubwa sana kwake.

Ni nadra sana tena sana kumkuta Diamond anazungumzia masuala ya CCM au kuvaa uniform za CCM unless kama kuna uchaguzi mkuu! Hata kwenye page yake ni nadra sana kukuta analeta mambo ya CCM! Ukiona analiamsha dude basi fahamu uchaguzi MKUU umeshafika! Analiamsha dude si kwa sababu ya u-CCM bali kunakuwa na biashara mzuri kati yake ni CCM! Mwaka 2015 kwa mfano, inasemekana alikuwa anapiga shows kwa 60M! Ni nani ataacha mpunga mzuri kama huu?!
 
Mahali alipo makonda sio salama kabisa...... huyo Makonda na element za uchawi kabisa. diamond awe makini sana na huyu mtu sio salama kwa biashara yake
Usimchukie binadamu mwenzako kiasi hicho, ni hatari kwa afya yako
 
Back
Top Bottom