Anachotafuta Diamond kwasasa ni nafasi ya kisiasa...lakini awe makini

Anachotafuta Diamond kwasasa ni nafasi ya kisiasa...lakini awe makini

Mimi kama Diamond platinumz au chibu dee, au simba Kama wanavyoniita...
Nimesikia maoni yako... na ntayatendea kazi. japokuwa ni kweli yule jamaa mwenye masantojo nyuma.. ananishobokea sana.. nashukuru.. ndugu mshana Jr..
 
Mimi kama Diamond platinumz au chibu dee, au simba Kama wanavyoniita...
Nimesikia maoni yako... na ntayatendea kazi. japokuwa ni kweli yule jamaa mwenye masantojo nyuma.. ananishobokea sana.. nashukuru.. ndugu mshana Jr..
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
 
An Internet is ownership with shaitaan, who is safely?
Na tazama watakutwa watu wawili mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa....between you n me, one is safe...maybe me[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hitaji kuu la binadamu yoyote katika kuhangaika kote ni kutafuta mafanikio....mafanikio katika maisha ni muhimu sana
Kifedha
Kielimu
Ustawi
Uongozi
Familia na umaarufu
Safari ya mafanikio huanza kwa kusaka elimu ....lakini si wote huweza kuendea njia hii mpaka mwisho kutokana na changamoto mbalimbali....
Hawa wanaoishia njiani huamua kujikita kwenye fani nyingine kama sanaa ,ufundi , biashara na shughuli nyingine za ubunifu...kwa kuachana na elimu mapema huwekeza zaidi kwa kile wanachoona ndio mustabali wao ulipo....juhudi zao,nguvu ,muda,maarifa na nyota huwapeleka taratibu kwenye njia ya mafanikio... Hapa hutafuta msingi wa kusonga mbele...ni upi huo
Kwanza sehemu ya kupumzisha mwili
Pili sehemu ya kuingiza kipato
Tatu sehemu ya kupata mahitaji ya lazima halafu baadae ya muhimu na baada ya hapo ya ziada...

Utajiri ni tafsiri ya ziada ,yani umeshapata kila kitu cha muhimu na cha lazima sasa unatafuta ziada...mtu akishapata ziada .....hii ni ngazi ya kwanza katika ngazi za matamanio ya binadamu..baada ya hapo huingia ngazi ya pili ambayo ni umaarufu.....akimaliza huingia ngazi ya tatu ambayo ni kutambulika...hapa ndio kile kipindi cha kutoa misaada mbalimbali ,kupewa vyeo vya heshima kwenye taasisi na mashirika...kualikwa sehemu tofauti kwa ajili ya kuwa mgeni rasmi nknk...baada ya ngazi zote hizo sasa ni wakati wa wa kusaka heshima kwa muktadha wa nafasi ya kutumikia jamii kisiasa.....(japo kiuhalisia ni kutaka kulinda maslahi binafi)
Diamond yuko njia hii kwasasa si wa kwanza na hatakuwa wa mwisho ,walikuwepo kina Manji, Nimrodi mkono wakili msomi tajiri,Eric shigongo,Belusconi ,Teumph na wengine wengi....

Kikubwa anachopaswa kumakinika nacho Diamond ni kaliba ya watu waliomzunguka wakijifanya marafiki wema kwake...Hawa ni aina ya watu wanaotaka tu kumtumia kwa maslahi binafsi ya kisiasa...hawako tayari kumuona Diamond akiwa mnga'vu kuliko wao kwenye ulingo wa siasa.....


Past story: Ritz aliwahi kufungwa gidamu
Anauwezo kijan.jumlisha na support ya bashite
 
Back
Top Bottom