Anachotafuta Diamond kwasasa ni nafasi ya kisiasa...lakini awe makini

Diamond platinums haitaji kuwa kwenye siasa wacha kutudanganya mkuu.View attachment 891689View attachment 891692
Naona kadiri jukwaa linavyozidi kukua ndio great thinkers wanazidi kupungua...naamini wewe na wengine wenye mtazamo kama wako mmeshindwa kuangalia mtiririko wa kanuni za maisha .....
Jambo wengi msilolijua ni kwamba hata juzi kwenye birthday yake alitumika kisiasa...tambo na majigambo na vitisho vya kipuuzi vilivyokuwa vikitolewa na wageni waalikwa waliopata nafasi ya kuongea chochote vililenga kupeleka ujumbe fulani kuwa wanakubalika katika jamii na Diamond ni wa kwao
 
Mada ya kawaida yenye ujumbe mzito sana ndani hasa ile aya ya mwisho.
Kikubwa anachopaswa kumakinika nacho Diamond ni kaliba ya watu waliomzunguka wakijifanya marafiki wema kwake...Hawa ni aina ya watu wanaotaka tu kumtumia kwa maslahi binafsi ya kisiasa...hawako tayari kumuona Diamond akiwa mnga'vu kuliko wao kwenye ulingo wa siasa.....
 
Naona wengi hawakuelewa alichoandika hapa ...alitumika kisha atalekezwa kama lile karatasi laini[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
 
Mahali alipo makonda sio salama kabisa...... huyo Makonda na element za uchawi kabisa. diamond awe makini sana na huyu mtu sio salama kwa biashara yake
Daudi Bashie


Kihamia

Mnyeti

Tulia Ackson

Simon Sirro

Mroto

Dotto James



Hawa watu wasioburuzwa MAHAKAMANI Awamu ya 6, NITASHANGAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…