Anachotafuta Lissu ni kukimbia nchi kama kawaida yake

Serikali ya Tanzania imfanyie Tundu Lissu kama Miguna Miguna alivyofanyiwa na Kenyatta kwa kumpiga marufukuu kukanyaga Kenya baada ya kuchukua ukimbizi wa Canada. Tundu Lissu ana matatizo za akili na ni hatari sana kwa usalama wa Tanzania
 
Nimeishia hapo kwenye 'Na Thadei Ole Mushi', nikajua rest of the story itakua ni u Chawa tu
 
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki?.
Unafurahia mtanzania mwenzako anapokimbia nchi?.
Vipi angekuwa ni baba yako?.
By the way,Rais Samia hana roho mbaya kiasi hicho.
 
CHIBA NA WENZAKE WATAKUKURUKA WEEE,LAKINI TUTAWAANGALIA TU NA KUWAPUUZA,MPUUZI NI WA KUPUUZA TU.
 
Tanzania tuna majitu majinga sana, mojawapo ni hili lililoandika huu ushuzi
 
Endapo utawala wa sheria na kuheshimu katiba ya nchi kusingekuwa na maridhiano, maridhiano hufanyika baada ya anayeonewa kumsamehe anayeomuonea, hii si sifa nzuri kwa muonezi, rejea makaburu Afrika Kusini na Mandela ndivyo kwa makaburu wa Tanzania na Mbowe.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi siasa dunian kote inatakiwa staha ili ukosoe au ni Tanzania pekee? Tunaona mataifa mengi mpaka ulaya viongoz wanavyopigwa spana!! Naomba jibu kama ustaha ni kweny kukosoa wakuu wa Tanzania?
 
Uliokua unawatetea wanekuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…