Uchaguzi 2020 Anachotakiwa Lissu ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu

Mimi siwezi kumchagua muuaji,hata iweje!Magufuli ni muuaji!
 
Kwani kampeni zimeanza???

Bongo Kuna [emoji230] wengi Sana tena ww wa maziwa
 
Waoumbav wakubwa,nani kawapa mamlaka ya kuamua siasa zifanyike kwa miezi miwili tu huku nyinyi mkifanya siasa miaka 5?Hatutaki wavunja katib,piga chini Magufuli na Ccm yake!
 



Wenzio hawalali kisa LISU.

Mara viongozi wa dini kupongeza mafanikio ya AWAMU ya tano.

Mara wasanii 200 uwanja wa Mkapa (Taifa)

Mara tuzo ya corona kule miyuji kutoka Kanisani (TAG)

Mara viongozi wa dini kuombea uchaguzi, mgeni rasmi Mwenyekiti wa ccm ambaye pia ni mgombea URAIS.

Leo kuzindua kabisa chamwino.

MAKANISA YANATUMIKA KWA KAMPENI , IGP, TUME YA UCHAGUZI KIMYA.
 

Hayo ni mawazo yako. Kwa nini unaumia sana anapowaeleza watu habari za kupigwa kwake risasi? Unaposema kuwa hizo habari ziliandikwa wakati yeye yuko njeya nchi, je kuna ubaya gani akizisema yeye mwenyewe? Mwenye ukweli ni Lissu na si hao walioandika kwani ailyeumizwa ni Lissu, tumwacha aeleze yote ili ukweli ujulikana.
Sasa nyie mnapatwa na kizunguzungu kwa maana mmekamatwa pabaya. Serikali kunyamaza kimya si kwamba inapenda, bali haina namna nyingine ya kufanya baada nya maonyo toka kwa wakubwa.
 
Mpo wapuuzi wengi nchi hii. Lissu alikuwa anatafuta wadhamini wewe unadai sera !!. Huyu unayemuabudu ana sera gani inayoenda ki mpango ?! Zaidi kuwa akiamka anajiamulia !!.

Mambo ya kunyamazisha watu sera gani hiyo ?!
Hata Joe Biden kampeni bado lakini kashasema kile anachokwenda kukisimamia kwa uchache. JPM kila anapokwenda anasema kwa ufupi mafanikio yake na kile atakachokwenda kuendelea nacho ambacho hata wewe unakisubiri kwa hamu Kama vile umeme mwingi, umeme vijijini, maji, reli ya kwenda hadi singida na kupitiliza.

Kaka kilichoujaza moyo wako ndicho kinachokutoka.
 
Subiri Jtano utaanza kuwasikia wote hata kina Lipumba, Rungwe, Maghufuli, nk. Usihangaike na Lissu, kama humpendi mnyime kura yako basi
 
Aliyempiga risasi hajatubu, Yuko anazunguka kwenye makanisa
 
MARA SIMBA DAY ,MO DEWJI KUMPIGIA KAMPENI MAGU
 
Yaani ulitaka aanze kumwaga sera ili mpate pakumkamatia kwamba kaanza kampeni mapema? It has eaten your side (tafsri ya moja kwa moja).
.... It has eaten your side.
Nimeipenda hii, teh, teh, teh....
Imekula kwenu😆😆
 
Hakuna anayesema kuwa upinzani hakuna Tanzania, Goliath alimdharau Daudi akakiona Cha mtemakuni. Tunachosema upinzani hauko makini, unalaumu unalaumu unalaumu hadi mwisho badala ya kujikita, focus kwenye njia mbadala za namna shida zetu tutaziondoa, namna ya kupata katiba nzuri, tume ya Uchaguzi na uchumi wa taifa na watu. Unapofoka na kutukana jukwaani unawaogopesha watu ambao hawajazoea kusikia lugha hiyo ambao bado wako wengi Tanzania.

Hata Nyerere Kama angetumia kejeli, matusi na vitisho wakati anadai Uhuru kutoka kwa mkoloni huenda wangemuua tusingemkuta.

Mnapokuwa majukwaani kuweni Kama walimu ambao mnawafundisha watu uzuri wa vyama vingi, ubaya wa chama kimoja na namna nchi itakavyokuwa salama hata vyama vya upinzani vikiiongoza nchi.

Sasa nyie mkiwa majukwaani mnabeza kila kitu, hamchagui Cha kusema wala wa kumsema. mnabeza hata polisi, usalama wa taifa na kila kitu, hii kinachoonyesha kuwa hamfahamu namna polisi na usalama wa taifa unavyofanyakazi zake.
 
Yaani ulitaka aanze kumwaga sera ili mpate pakumkamatia kwamba kaanza kampeni mapema? It has eaten your side (tafsri ya moja kwa moja).
Asiyejua kwamba kisha Anza kampeni ni nani? Kwa taarifa yako hana jipya
 
Nilicho gundua mimi wa tz ni wanafiki sana enzi za kikwete aliitwa majna mengi sana, wengine walisema rais gani kila siku ulaya, wengine wakasema rais dhaifu,mara rais anachekacheka mara huyu shemeji, inchi tajiri tz tuna kosa ndege tunazidiwa rwanda. Mungu kamleta magufuri na kafanya makubwa kwa mda mfupi tu,lakini watu wanapiga keleleeeee, mzee wa watu kikwete alijitahidi hata kuhuzuria miziba kila wakati lakini watu walibeza wakamuita mzee wa misiba. Rais magufuri kama unapitia hapa nakushauri ukishinda uchaguzi mkuu fanya ufisadi wa nguvu sana iba kabisa nenda uraya kale bata kila mwisho wa week maana sisi watanzania ni wanafaki sana na hatuna jema,hatuna shukurani kabisa mungu akulinde amina.
 
 
Kwa nini anayekuwa kinyume na wewe unawaita wapumbavu??

Kwa akili yako Lissu atakuwa rais wa nchi hii kiasi cha wewe kuwa na mzuka wa kuita watu wapumbavu?

Mlio na hasira wengi mnajificha kwa Lissu, ika ki ukweli mna hasira za mirija kukata, opportunities kukatika kwa sababu mlikuwa weak, inferior na hamna ubunifu.

Ndio unakuja hapa unaona ukiita watu wapumbavu watashtuka?? Seriously? Yaani unamtukana mtu mwenye ID ya uongo? Kuwa Tusi litamuuma? Unayajua matusi wewe??

Kweli unakaa unaamka na kuamini Lissu atakuwa rais?Au atarukaruka wee na kutulia???

Lissu kaharibu msimamo wake kwenye corona, Lissu alisema hatarudi nchini mpaka kahakikishiwa ulinzi, hakuna anayemsemesha wala kumjibu. Ni mbaya

Wewe nina hakika kura hautaenda kupiga, Lissu anahitaji kula ana njaa hauwezi kuchanga... Giess what.. uko humu kutukana watu wapumbavu

Kwa nini unaweka imani, amana na tumaini kwa kitu ambacho hakiwezi kuwa kitakavyo hata kiweje?? Mama yako kijijini anataka uwe real, uwe genuine uwe practical na ndio maana hakukutoa mimba akitegemea mtoto ana akili timamu

Yaani kwa utiisho wa rais unaamini Lissu anamsumbua mtu??
 

Kweli mkuu,


Sasa JPM kaziba madhaifu

Wanaomchukia wengi ni wale ambao hawakuwa wanapata vipato halali na mirija imekatwa

Wanasali wanaomba eti Lissu atakuja kuwa rais
 
kama habari za kupigwa risasi mnazifahamu kwa nini hamchukui hatua sasa! Au mnaona jpm kumpiga risasi ilikuwa sawa tu. Leo kanisani alikuwa kufanya nini kama alitaka kuua mtu. Amuite lisu amuombe msamaha na ajiuzuru pia kwani amefanya mauaji mengi ndani ya mda mfupi. Mnataka tuyanyamanzie mauaji ili muendelee kuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…