Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe unahangaika kuwasemea usiowajua hao unaodhani wajingaWengi wanakuja kumuona baada ya kunusurika kufa hivyo taarifa ya kupigwa kwake wanayo. Hapohapo wanapokuja kumshangaa ndio atumie fursa kuwaeleza Cha maana, maana wanaweza wasirudi Tena Kama vile, maana kushangaa Ni Mara moja.
Nadhani hata yeye alikuja akiwa amevaa ma bullet proof mengi mwilini akidhani anakwenda kufa, hadi Sasa anashangaa nchi imejengwa kila Kona na hakuna anayehangaika naye sana
Asiogope kukosolewa azisome komenti zote hizi huenda akaambulia chochote kitakachomsaidia huko mbele ya safari. Kiongozi mzuri anasikiliza na kusoma zaidi kuliko kuongea na kuandika.Mmeshindea kumpangia jiwe mnakimbilia kwa mgombea wetu kumpangia
MATAGA.... MATAGA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmepoteana mnoBila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi.
Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo vingi vya habari vya nje ili kuandika na kuripoti kile kitakachompata Lissu atakapotua Airport Tanzania.
Rais JPM amedhihirisha kuwa amedhamiria kuijenga upya Tanzania na hana sababu nyingine moyoni mwake. Ameonyesha kuwa hana nia mbaya zaidi ya kupambana na ubadhilifu, rushwa na njama za wawekezaji wabaya.
Mpaka Sasa kalamu za vyombo vingi vya habari vilivyotaka kuandika habari za lissu kurejea zimekauka wimo kwa kukosa Cha maana cha kuandika. Bahati mbaya mheshimiwa Lissu mpaka Sasa sijamsikia bado akisema kile atakachowafanyia watanzania punde atakapofika ikulu Kama atashinda uchaguzi, badala yake mpaka sasa muda mwingi anautumia kueleza alivyopigwa Dodoma.
Anasahau kuwa habari ya kupigwa kwake ziliandikwa Sana na kutangazwa Sana wakati yeye yuko nje ya nchi kwa matibabu, hivyo watu wanazifahamu sana hivyo hakuna haja ya kuwapotezea watu muda kuizungumzia Tena kirefu majukwaani zaidi ya kushukuru kwa dk moja tu Kisha atueleze namna atakavyofanya kwenye madini, utalii, kilimo, ufugaji, uvuvi, utawala bora, usalama, makazi..kwa kifupi wakati tukisubiri kampeni zianze rasmi.
Uzuri na ubaya wa Rais wao wanaufahamu Sana hata wao, hivyo asipoteze muda kuwasimulia watu ambao walikuwepo Tanzania kwa miaka yote 5 ya awamu ya tano, maana wao wanafahamu Sana kuliko yeye ambae hakuwepo nchini kwa miaka 3.
Anachotakiwa Lissu Ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu.
Ukomavu huu wa serikali ya JPM umeishangaza dunia kusema ukweli, hasa wale waliotarajia mshikemshike pale Airport.
Wawekezaj wabaya eti atapambana nao sio?Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi.
Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo vingi vya habari vya nje ili kuandika na kuripoti kile kitakachompata Lissu atakapotua Airport Tanzania.
Rais JPM amedhihirisha kuwa amedhamiria kuijenga upya Tanzania na hana sababu nyingine moyoni mwake. Ameonyesha kuwa hana nia mbaya zaidi ya kupambana na ubadhilifu, rushwa na njama za wawekezaji wabaya.
Mpaka Sasa kalamu za vyombo vingi vya habari vilivyotaka kuandika habari za lissu kurejea zimekauka wimo kwa kukosa Cha maana cha kuandika. Bahati mbaya mheshimiwa Lissu mpaka Sasa sijamsikia bado akisema kile atakachowafanyia watanzania punde atakapofika ikulu Kama atashinda uchaguzi, badala yake mpaka sasa muda mwingi anautumia kueleza alivyopigwa Dodoma.
Anasahau kuwa habari ya kupigwa kwake ziliandikwa Sana na kutangazwa Sana wakati yeye yuko nje ya nchi kwa matibabu, hivyo watu wanazifahamu sana hivyo hakuna haja ya kuwapotezea watu muda kuizungumzia Tena kirefu majukwaani zaidi ya kushukuru kwa dk moja tu Kisha atueleze namna atakavyofanya kwenye madini, utalii, kilimo, ufugaji, uvuvi, utawala bora, usalama, makazi..kwa kifupi wakati tukisubiri kampeni zianze rasmi.
Uzuri na ubaya wa Rais wao wanaufahamu Sana hata wao, hivyo asipoteze muda kuwasimulia watu ambao walikuwepo Tanzania kwa miaka yote 5 ya awamu ya tano, maana wao wanafahamu Sana kuliko yeye ambae hakuwepo nchini kwa miaka 3.
Anachotakiwa Lissu Ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu.
Ukomavu huu wa serikali ya JPM umeishangaza dunia kusema ukweli, hasa wale waliotarajia mshikemshike pale Airport.
Unataka aseme uongo kama MEKO mwaka 2015, maana anavyotenda na alivyo ahidi haviendani kabisaKulinda katiba tu pekee hakutoshi kupewa urais.
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi.
Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo vingi vya habari vya nje ili kuandika na kuripoti kile kitakachompata Lissu atakapotua Airport Tanzania.
Rais JPM amedhihirisha kuwa amedhamiria kuijenga upya Tanzania na hana sababu nyingine moyoni mwake. Ameonyesha kuwa hana nia mbaya zaidi ya kupambana na ubadhilifu, rushwa na njama za wawekezaji wabaya.
Mpaka Sasa kalamu za vyombo vingi vya habari vilivyotaka kuandika habari za lissu kurejea zimekauka wimo kwa kukosa Cha maana cha kuandika. Bahati mbaya mheshimiwa Lissu mpaka Sasa sijamsikia bado akisema kile atakachowafanyia watanzania punde atakapofika ikulu Kama atashinda uchaguzi, badala yake mpaka sasa muda mwingi anautumia kueleza alivyopigwa Dodoma.
Anasahau kuwa habari ya kupigwa kwake ziliandikwa Sana na kutangazwa Sana wakati yeye yuko nje ya nchi kwa matibabu, hivyo watu wanazifahamu sana hivyo hakuna haja ya kuwapotezea watu muda kuizungumzia Tena kirefu majukwaani zaidi ya kushukuru kwa dk moja tu Kisha atueleze namna atakavyofanya kwenye madini, utalii, kilimo, ufugaji, uvuvi, utawala bora, usalama, makazi..kwa kifupi wakati tukisubiri kampeni zianze rasmi.
Uzuri na ubaya wa Rais wao wanaufahamu Sana hata wao, hivyo asipoteze muda kuwasimulia watu ambao walikuwepo Tanzania kwa miaka yote 5 ya awamu ya tano, maana wao wanafahamu Sana kuliko yeye ambae hakuwepo nchini kwa miaka 3.
Anachotakiwa Lissu Ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu.
Ukomavu huu wa serikali ya JPM umeishangaza dunia kusema ukweli, hasa wale waliotarajia mshikemshike pale Airport.
Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi.
Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo vingi vya habari vya nje ili kuandika na kuripoti kile kitakachompata Lissu atakapotua Airport Tanzania.
Rais JPM amedhihirisha kuwa amedhamiria kuijenga upya Tanzania na hana sababu nyingine moyoni mwake. Ameonyesha kuwa hana nia mbaya zaidi ya kupambana na ubadhilifu, rushwa na njama za wawekezaji wabaya.
Mpaka Sasa kalamu za vyombo vingi vya habari vilivyotaka kuandika habari za lissu kurejea zimekauka wimo kwa kukosa Cha maana cha kuandika. Bahati mbaya mheshimiwa Lissu mpaka Sasa sijamsikia bado akisema kile atakachowafanyia watanzania punde atakapofika ikulu Kama atashinda uchaguzi, badala yake mpaka sasa muda mwingi anautumia kueleza alivyopigwa Dodoma.
Anasahau kuwa habari ya kupigwa kwake ziliandikwa Sana na kutangazwa Sana wakati yeye yuko nje ya nchi kwa matibabu, hivyo watu wanazifahamu sana hivyo hakuna haja ya kuwapotezea watu muda kuizungumzia Tena kirefu majukwaani zaidi ya kushukuru kwa dk moja tu Kisha atueleze namna atakavyofanya kwenye madini, utalii, kilimo, ufugaji, uvuvi, utawala bora, usalama, makazi..kwa kifupi wakati tukisubiri kampeni zianze rasmi.
Uzuri na ubaya wa Rais wao wanaufahamu Sana hata wao, hivyo asipoteze muda kuwasimulia watu ambao walikuwepo Tanzania kwa miaka yote 5 ya awamu ya tano, maana wao wanafahamu Sana kuliko yeye ambae hakuwepo nchini kwa miaka 3.
Anachotakiwa Lissu Ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu.
Ukomavu huu wa serikali ya JPM umeishangaza dunia kusema ukweli, hasa wale waliotarajia mshikemshike pale Airport.
Uko sawa mkuuBila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi.
Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo vingi vya habari vya nje ili kuandika na kuripoti kile kitakachompata Lissu atakapotua Airport Tanzania.
Rais JPM amedhihirisha kuwa amedhamiria kuijenga upya Tanzania na hana sababu nyingine moyoni mwake. Ameonyesha kuwa hana nia mbaya zaidi ya kupambana na ubadhilifu, rushwa na njama za wawekezaji wabaya.
Mpaka Sasa kalamu za vyombo vingi vya habari vilivyotaka kuandika habari za lissu kurejea zimekauka wimo kwa kukosa Cha maana cha kuandika. Bahati mbaya mheshimiwa Lissu mpaka Sasa sijamsikia bado akisema kile atakachowafanyia watanzania punde atakapofika ikulu Kama atashinda uchaguzi, badala yake mpaka sasa muda mwingi anautumia kueleza alivyopigwa Dodoma.
Anasahau kuwa habari ya kupigwa kwake ziliandikwa Sana na kutangazwa Sana wakati yeye yuko nje ya nchi kwa matibabu, hivyo watu wanazifahamu sana hivyo hakuna haja ya kuwapotezea watu muda kuizungumzia Tena kirefu majukwaani zaidi ya kushukuru kwa dk moja tu Kisha atueleze namna atakavyofanya kwenye madini, utalii, kilimo, ufugaji, uvuvi, utawala bora, usalama, makazi..kwa kifupi wakati tukisubiri kampeni zianze rasmi.
Uzuri na ubaya wa Rais wao wanaufahamu Sana hata wao, hivyo asipoteze muda kuwasimulia watu ambao walikuwepo Tanzania kwa miaka yote 5 ya awamu ya tano, maana wao wanafahamu Sana kuliko yeye ambae hakuwepo nchini kwa miaka 3.
Anachotakiwa Lissu Ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu.
Ukomavu huu wa serikali ya JPM umeishangaza dunia kusema ukweli, hasa wale waliotarajia mshikemshike pale Airport.
Yeye haamini maendeleo bila kupata misaada kutoka kwa wazungu. Tuwe makini tusije tukaiweka rehani nchi yetu, wazungu hawanaga Cha bure.Ata
Awafanyie kitu gani amabacho yeye atakuwa wa kwanza? Si anasema vitu vyote vilifanywa zamani sasa yeye atakuwa kwa kwanza kwa lipi?
Vyombo vya habari Ni vigumu Hotuba zake kuzipeperusha hewani kwenye public kutokana na baadhi ya maneno anayoyatumia kwa serikali na kiongozi wa nchi. Hotuba yenye maneno Kama "mpuuzi, mshenzi, dikteta, mpumbavu..." hakuna mhariri anayependa kuyapeleka hewani kwa mujibu wa Mila, desturi, tabia na mazoea yetu watanzania. Na inawezekana hapo ndipo tunapokwama Kama taifa. Kwa maadili na mazoea yetu Hatuwezi kumtukana kiongozi hata Kama anatufilisi kwa wizi na ufisadi.Bado Kampeni kamili mtaona sera zake tulieni acheni mapepe
Sema mmepigwa ganzi na mnashindwa namna ya kumfanyaWengi wanakuja kumuona baada ya kunusurika kufa hivyo taarifa ya kupigwa kwake wanayo. Hapohapo wanapokuja kumshangaa ndio atumie fursa kuwaeleza Cha maana, maana wanaweza wasirudi Tena Kama vile, maana kushangaa Ni Mara moja.