Uchaguzi 2020 Anachotakiwa Lissu ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu

Hiyo ya kuua siwezi kuithibitisha, na hata wewe huwezi. Lakini mimi binafsi Kama Mimi sioni vibaya Kama tukiwaua wote walioshiriki kutuingiza kwenye mikataba mibovu kwa makusudi, wanaoiba nabkufuja Mali za umma, vibaraka wa mabeberu kutuibia Mali zetu kwa njia yoyote ile, mafisadi, Wala rushwa na walioyaua mashirika na viwanda vyetu kwa makusudi na wanaoingiza madawa ya kulevya nchini. Kama watu Hawa watathibitika pasipo shaka kuwaua Ni sawa kwa mawazo yangu
 
Kaskazini bhana!!!
CCM Tangu tumepata uhuru hadi leo mmekua mkitoa ahadi hewa juzi mgombe wenu wa urais wakati anachukua form ya kugombea NEC alitoa ahadi ya kuigeuza Tanzania kama ulaya ndani ya miaka mitano tu kwanini usimwambie mgombea wenu aache kutoa ahadi hewa ambazo azitekelezeki umegangana na Lissu
 
1. Sugu kaenda Na watu kuchukua form,kakamatwa Na polisi kisa maandamano
2)Tulia kaenda kuchukua form Na nyomi. Hajakamatwa.
Kwamba haijulikaniPolisi wanafanyaje kazi?
Polisi Ni jeshi na kila jeshi lina kamanda na kila kamanda anapokea na kutoa maagizo ambayo hayajadiliwi, unatekeleza halafu anahoji baada ya kutekeleza. Sasa wapinzani hamna elimu hii, mnabaki kuwalaumu watanzania wenzenu wanaofanya kazi ya upolisi na u TISS bila kuelewa majukumu yao ya kazi.
 
Subiri kampeni zianze mkuu ila natoa ushauri tu agizeni mabox ya hedex na padzinc muweke lumumba maana mtashikwa na matumbo ya kuhara na maumivu sana ya kichwa na mwili.
 
Anayesikika mara moja anaweza kuwa na faida kuliko aliyezoeleka. Binadamu ndivyo walivyo. Hata mme au mke usishinde naye kila siku mwaka mzima!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Na tunataka mgombea wa CCM atueleze Ile kauli yake ya Tarh 7 September kuwa Lissu hapaswi kuishi, aliitoa akiwa amelewa Gongo au Chang'aa?
 
Tafsiri sawa kabisa Ila Kuna neno moja limeachwa ingesomeka: It has eaten your back side.
Asante kiongozi ila nilikuwa nachekesha tu wadau hapa jukwaani! Ndiyo maana nikasema tafasiri ya moja kwa moja!! MATAGA bwana mwaka huu wamekamatika na sina uhakika mzee mwenye pacemaker bandia kama hataaga mashindano mwaka huu!
 
Mkuu mbona kavikataza vyombo vya habari kuripoti habari za Lisu?

Mbona wamempangia afike makamani 26/8 siku ambayo anatakiwa awe tume ya uchaguzi?
Sifa hizi unazompa Magufuli zitolewe baada ya October 28.
Ukosefu wa weledi ndio unaovifanya vyombo vya habari visiripoti habari za wananchi, lakini hata hivyo itategemea unaripoti Nini. Hata Ulaya na Marekani Wana miiko yao kwenye kuripoti.. sio kila kitu kinafaa kuripotiwa. Mfano, kuna namna mtu anavyoweza kukosoe sera, kumkoa Rais na Amiri jeshi Mkuu. Urais Ni taasisi sio mtu, hivyo unapotaka kumkosoa Rais kama mtu lazima uwe makini Sana. Angalia hata wamarekani wanavyomkoa Trump Kama Rais na Trump Kama mtu.
Tanzania bado
 
Ataondoa utekaji, ataajiri , ataongeza mishahara ya wakulima, , hatawavamia wakulima wa korosho kwa kwa mizinga
 
Kwani Ulaya Kuna nini unachokifahamu wewe? Ulaya Kuna Kuna airport nzuri na yeye kajenga airport nzuri, Ulaya Kuna flyovers na yeye kajenga flyovers, Ulaya umeme haukatikikatiki ovyo na yeye umeme haukatikatiki ovyo na mwingine anajenga kule rufiji, Ulaya Kuna treni za mwendo kasi na yeye anajenga treni hiyo, Ulaya wanalipa Kodi kwelikweli na yeye anakusanya Kodi kwelikweli, Ulaya Kuna viwanda na yeye anajenga viwanda vingi, Ulaya Kuna barabara na meli na yeye katimiza, Ulaya hawagawi hela mifukoni na yeye hagawi hela kwa watu. Sasa unamaanisha nini?
 
Huu ujinga kamsimulie Basha wako, hivi mnafikiri watz hatuna akili?
Hata wewe huna akili mbona? Wewe ushinde uchaguzi kwa sera zipi, katiba ipi na tume ya Uchaguzi ipi? Ungekuwa na akili angewashauri wenzio msishiriki Hadi mpate katiba na tume huru. Matusi yenu yote haya Ni kwaajili ya kuwatumia wananchi mazuzu wawapatie ajira ya ubunge na ruzuku baaasi. Lakini hamuambii wananchi ukweli kwamba hamuwezi kwenda ikulu kwa sera zenu mbovu, katiba na tume hii.
 
Kwani kampeni zimeshaanza? Mbona mna kiherehere hivyo? Atawanyoosha tu na udikteta mavi wenu
Sijui Kama Ni dikteta kiasi hicho, sidhani Kama Ni dikteta kumshinda Rais wa Marekani, Korea kaskazini, Uganda, Rwanda, urusi, China, Egypt, turkey, Iran, Saudia, Burundi, Yemen, nk? maana lazima ufanye benchmarking. Hivi manguli Ni dikteta kumzidi Rais yupi duniani? Tusiwadanganye watu wetu ambao ndio kwanza wanainukia kwenye siasa.

Yaani kusema usile rushwa Ni udikteta, kusema tupeane muda wa kuyatekeleza Yale tuliyoyaahidi wananchi Ni udikteta, kusema lipeni Kodi Ni udikteta, kusema usiibe Mali ya uma nao Ni udikteta, kusema tununue ndege zetu haraka Ni udikteta, kupambana na ujangili pia Ni udikteta? Labda maana ya udikteta haifahamiki
 
ikifika siku ya kampeni huyu kaishiwa hoja,ataanza RISASII 500 RISAASIIIII.watu hao chama cha makubwa
alafu Belgium huko ambako hata ukimbizi kanyimwa ni moja ya nchi maskini Euro wao na Greece then Italy.

Magu yupo kimyaaa,anaandaa sebenne la kucheza nae mbele huko kisayansi
 
Kuna watu wanjua sana kuisemea mioyo ya watu wengine!!sijui sababu ni kitu gani kwa kweli!!
Dah!! Ukipata mtu anaekuonyesha makosa yako furahi Sana, Mshukuru Mungu, Ni zawadi kubwa. Ogopa Sana kuzunguukwa na watu wanaokusifia katika kila jambo, Ni ama wakudanganya, hawakupendi, wanakuogopa au wanalinda maslahi yao kupitia wewe.
 
Anayesikika mara moja anaweza kuwa na faida kuliko aliyezoeleka. Binadamu ndivyo walivyo. Hata mme au mke usishinde naye kila siku mwaka mzima!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Babu yako kakudanganya kwenye hilo la mke, usiposhinda nae wenzako watamkokota mkeo, Tena rafiki zako kabisa
 
Ataondoa utekaji, ataajiri , ataongeza mishahara ya wakulima, , hatawavamia wakulima wa korosho kwa kwa mizinga
Binafsi hata mm nyumbani kwangu ninapotaka kufanya Jambo kubwa linalohitaji pesa nyingi lazima watoto watachezea ugali maharage na mlenda hadi nikamikishe Jambo langu. Huwezi kuongeza mishahara unapotaka kujenga miradi mikubwa Kama reli, umeme, kuhamia Dodoma, meli, elimu bure, nk
 
 
Acha kutumia MASABURI mkuu, hayo yatasemwa muda wa kampeni utakapoanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…