Uchaguzi 2020 Anachotakiwa Lissu ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu

Kampeni bado hazijaanza mzee baba......
 
Mbona wewe unahangaika kuwasemea usiowajua hao unaodhani wajinga
 
Mmeshindea kumpangia jiwe mnakimbilia kwa mgombea wetu kumpangia
 
Mmeshindea kumpangia jiwe mnakimbilia kwa mgombea wetu kumpangia
Asiogope kukosolewa azisome komenti zote hizi huenda akaambulia chochote kitakachomsaidia huko mbele ya safari. Kiongozi mzuri anasikiliza na kusoma zaidi kuliko kuongea na kuandika.
 
MATAGA.... MATAGA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmepoteana mno
 
Wawekezaj wabaya eti atapambana nao sio?
 
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....
 
Ata

Awafanyie kitu gani amabacho yeye atakuwa wa kwanza? Si anasema vitu vyote vilifanywa zamani sasa yeye atakuwa kwa kwanza kwa lipi?
 
Dah,,kweli lazima aeleze maumivu aliyonayo na awaaminishe wananchi ili wamuonee huruma na wampe nchi.
 
Uko sawa mkuu
 
Ata


Awafanyie kitu gani amabacho yeye atakuwa wa kwanza? Si anasema vitu vyote vilifanywa zamani sasa yeye atakuwa kwa kwanza kwa lipi?
Yeye haamini maendeleo bila kupata misaada kutoka kwa wazungu. Tuwe makini tusije tukaiweka rehani nchi yetu, wazungu hawanaga Cha bure.

Labda kosa kubwa la wazi ambalo baadhi ya wanajamii wanalolifanya Ni kumuandama Sana Lissu na Chadema kwa kumpiga risasi afe, kuchoma office zao na hila nyingine extreme za wazi ambazo Ni rahisi sana kuonekana kuwa kweli Lissu na Chadema wanaandamwa. Vitu Kama hivi sio tu vinasababisha Lissu na Chadema kuonekana kuwa ndio wapinzani hasa wa CCM bali Ni rahisi pia kuwaweka maadui zetu karibu zaidi na Tanzania. Vitendo vya makuburu, wareno, gadaff, saadam, Israel kwa Palestine vilisababisha maadui wa makaburu, wareno, gadaff, saadam na Israel kusogea karibu na South Africa, Angola na Msumbiji, Libya, Iraq na Palestine respectively.

Tuache tu democrasia ichukue mkondo wake ili vyama vishindane kwenye namna Bora ya kuwatendea mema wananchi Basi.
Mfano, bila Chadema imara mwaka 2015 huenda Rais Magufuli asingekuwa Rais

Kumuandama Sana Lissu na upinzani kipindi hiki kuna tarnish Uhuru wa mahakama, vyombo vya ulinzi na demokrasia yetu ndani na nje bila sababu za msingi, wacha wanachi wawapuuze wenyewe.
 
Bado Kampeni kamili mtaona sera zake tulieni acheni mapepe
 
Bado Kampeni kamili mtaona sera zake tulieni acheni mapepe
Vyombo vya habari Ni vigumu Hotuba zake kuzipeperusha hewani kwenye public kutokana na baadhi ya maneno anayoyatumia kwa serikali na kiongozi wa nchi. Hotuba yenye maneno Kama "mpuuzi, mshenzi, dikteta, mpumbavu..." hakuna mhariri anayependa kuyapeleka hewani kwa mujibu wa Mila, desturi, tabia na mazoea yetu watanzania. Na inawezekana hapo ndipo tunapokwama Kama taifa. Kwa maadili na mazoea yetu Hatuwezi kumtukana kiongozi hata Kama anatufilisi kwa wizi na ufisadi.

Ni Heri tu awe anatumia Hotuba isiyokuwa na maneno ya kuudhi ambayo hata wazee wa zamani wanaweza kuyastahimili. Siasa zetu lazima twende polepole Sana
 
Sema mmepigwa ganzi na mnashindwa namna ya kumfanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…