Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi""
Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta.
Sasa huyu bibie ana sherehe kadhaa kwa mwaka na zote zinataka zawadi, valentine day, girlfriend day, women day, mothers day. birth day tatu kwa mwaka.
Mtatuua