Anadai leo ni girlfriend day anataka zawadi

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi""

Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta.

Sasa huyu bibie ana sherehe kadhaa kwa mwaka na zote zinataka zawadi, valentine day, girlfriend day, women day, mothers day. birth day tatu kwa mwaka.

Mtatuua
 
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba
Ikikatika atavuka barabara kwa tahadhali

Nauliza hawa mbuzi wanao zurura hapa bongo mliki ni nani? Mbona wanafaa kwa mishikaki[emoji23]
Kula uone kama hujalia meee
 
Heheh
Mwaka huu haujengi tena nakwambia
 
TANZANIA MBONA HATUNA HUO UTAMADUNI WA GIRLFRIEND DAY?
Hata valentine day ilianza kimadihara huku Tz miaka haizidi ishirini,zamani wala haikuwepo,kama demu wako ni somoe wa vingunguti hawezi kuyajua hayo
 
Hata valentine day ilianza kimadihara huku Tz miaka haizidi ishirini,zamani wala haikuwepo,kama demu wako ni somoe wa vingunguti hawezi kuyajua hayo
sikukuu zingine kufata mikumbo tu

kama una slay queen utanyooka
 
Achana nae, mwambie zawadi pekee
AJE GHEZO UMPE MKUNYENGE.....!!
[emoji123][emoji123][emoji123]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mapya
 
Achana nae, mwambie zawadi pekee
AJE GHEZO UMPE MKUNYENGE.....!!
[emoji123][emoji123][emoji123]
Huo anapewa bila hiana labda zawadi ya mimba tu ili akili zimkae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…