Mashtaka yakafika kwa mjumbe.bila ajizi mjumbe akaniita.Mj jamaa hapa anadai unasugua kisigino kwa waifu wake mtarajiwa
aaah nikawambia kiitwe iko chanzo cha tatizo jamaa akanyanyua simu na kumuita waifu wake mtarajiwa alipokuja wee acha tuu
kavaa kipini cha nguvu,mpka mjumbe akadai hapa kesi hamna labda mkashitakiane kwengine
Nikamuliza mjumbe mbona unajivua mashtaka kulikoni?
Mjumbe akanikalikia kulikoni nini na wewe namna hii hata ''''''kashindwa kumalizia nikabaki njia panda
Wacha nitafute chumba sehemu nyengine
(Mabinti wa mtaa huu sio wa kweli!)