Anadai nambanjua mkewe mtalajiwa

Anadai nambanjua mkewe mtalajiwa

Dunda kwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
265
Reaction score
37
Mashtaka yakafika kwa mjumbe.bila ajizi mjumbe akaniita.Mj jamaa hapa anadai unasugua kisigino kwa waifu wake mtarajiwa

aaah nikawambia kiitwe iko chanzo cha tatizo jamaa akanyanyua simu na kumuita waifu wake mtarajiwa alipokuja wee acha tuu

kavaa kipini cha nguvu,mpka mjumbe akadai hapa kesi hamna labda mkashitakiane kwengine

Nikamuliza mjumbe mbona unajivua mashtaka kulikoni?

Mjumbe akanikalikia kulikoni nini na wewe namna hii hata ''''''kashindwa kumalizia nikabaki njia panda

Wacha nitafute chumba sehemu nyengine

(Mabinti wa mtaa huu sio wa kweli!)

Mh! hii mbona imekaa kishakunaku zaidi?
 
Inamaana mjumbe anafahamu historia ya huyo mke mtarajiwa zaidi ya mwenye mke mtarajiwa anavyojuaee!
 
Kama mjumbe ameona hamna kesi basi fanya mpinduzi baridi<bila kumwaga damu>.
 
Watu wakishiba pilau bana wanatuoia chochote me sijaelewa kitu
 
mmmmmmmmh jamaa lazima ashtuke kama kweli umnyemelea mke wake mtarajiwa tena jamaa anaonekana mtu poa sana coz wengine huwa hawana hata muda wa kwenda kwa mjumbe wanchukua tu sheria mikononi mwao matokeo yake unackia kifo,so ni bora ukaamia kwingine ili yasije yakakukuta mkubwa zaidi ya hayo,mke anauma kaka
 
Back
Top Bottom